Kwanini Faridi Musa hachezi anashida gani?

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Moja kati ya watu niliofurahia kusikia wanasajiliwa Yanga ni Faridi Musa. Ila nashangaa toka ligi ianze amecheza mechi moja tu. Mechi zingine zote haonekani hata benchi. Je, anashida gani?
 
Pale uto hakuna wa kumpiga benchi Farid.. nafikiri atakuwa hayuko sawa kiafya tu.
 
Moja kati ya watu niliofurahia kusikia wanasajiliwa Yanga ni Faridi Musa. Ila nashangaa toka ligi ianze amecheza mechi moja tu. Mechi zingine zote haonekani hata benchi. Je, anashida gani?
Atakuwa majeruhi
 
Back
Top Bottom