Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
DaahTunamshukuru mama kwa kupandisha bei ya dola.
Then mkuu kudeposit una deposit pesa ipi shilingi au dola?Ukifanya transaction kutoka kwenye acc ya tzs au kutoka mitandao ya simu ndio utapata hizo rates. Kwa manguli hatutumii hiyo njia. Fungua acc ya dola tena tumia ya stanbic personal current acc.
Kw jinsi uchumi wetu unavyodorora itafika hatua 500 unanunulia kibiriti kimoja, au pipi kifua.Hizo coin kuanzia 50 ndio wameiua rasmi haupati chochote cha 50 na hio 100 na 200 zinaelekea kupotezwa sasa hivi ni kuanzia 500 na 1000 hio 1000 iwekwe kwenye Coin na 100,000 itengenezewe Noti basi 10,000 haina kazi tena kuishika asubuhi mchana imekwisha
Acc ni ya usd, then deposit dola.Then mkuu kudeposit una deposit pesa ipi shilingi au dola?
Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
AchaUtakuwa unaota wewe..ngoma ishafika 2800..
Tunaolipia vitu mitandaoni moto tunauona!
Ukitaka kujua imefika sh ngapi nenda kanunue.. au uwe unataka kuagiza kitu nje, sometimes hata kwa 2800 haupati wanaanzia 2900Acha
Ishafika 2800?
Mkuu hii account ya dollar ya stanbic, wanacharge kiasi gani kwa mwezi? Makato yake yapoje?Ukifanya transaction kutoka kwenye acc ya tzs au kutoka mitandao ya simu ndio utapata hizo rates. Kwa manguli hatutumii hiyo njia. Fungua acc ya dola tena tumia ya stanbic personal current acc. Ndio uitumie kufanya malipo ya usd.
Kama una viwanda vya kuzalisha simu, magari, kompyuta nk nk hapo sawa. Otherwise utaishia kutengeneza "demand pull inflation".Ni njia mojawapo ya kukuza uchumi wa nchi...
Gharama za makato ya kurndesha hii account zikoje mkuu!?Ukifanya transaction kutoka kwenye acc ya tzs au kutoka mitandao ya simu ndio utapata hizo rates. Kwa manguli hatutumii hiyo njia. Fungua acc ya dola tena tumia ya stanbic personal current acc. Ndio uitumie kufanya malipo ya usd.
Makato kwa mwezi hamna, sijawai ona wanakata kwa mwezi. Nadhan wao wanakata makato ya mwaka na ada ya card ya atm kwa mwaka around 3.5isd! Wako very fair aisee!Mkuu hii account ya dollar ya stanbic, wanacharge kiasi gani kwa mwezi? Makato yake yapoje?
Makato kwa mwezi hamna, sijawai ona wanakata kwa mwezi. Nadhan wao wanakata makato ya mwaka na ada ya card ya atm kwa mwaka around 3.5isd! Wako very fair aisee!Gharama za makato ya kurndesha hii account zikoje mkuu!?
Ukitumia hiyo njia utaishia kupewa hayo ma rate yasiyo na kichwa wala miguu. Pole sana.View attachment 2961900
Failed State.!
Ni dhahili kua Bi tozo nchi imemshinda hata miaka mitano hajamaliza shilingi imetoka kwene 1300-1500Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali