Kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1

Kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1

Ukifanya transaction kutoka kwenye acc ya tzs au kutoka mitandao ya simu ndio utapata hizo rates. Kwa manguli hatutumii hiyo njia. Fungua acc ya dola tena tumia ya stanbic personal current acc.
Then mkuu kudeposit una deposit pesa ipi shilingi au dola?
 
Hizo coin kuanzia 50 ndio wameiua rasmi haupati chochote cha 50 na hio 100 na 200 zinaelekea kupotezwa sasa hivi ni kuanzia 500 na 1000 hio 1000 iwekwe kwenye Coin na 100,000 itengenezewe Noti basi 10,000 haina kazi tena kuishika asubuhi mchana imekwisha
Kw jinsi uchumi wetu unavyodorora itafika hatua 500 unanunulia kibiriti kimoja, au pipi kifua.

Soon tutakuwa failed state.
 
Ukifanya transaction kutoka kwenye acc ya tzs au kutoka mitandao ya simu ndio utapata hizo rates. Kwa manguli hatutumii hiyo njia. Fungua acc ya dola tena tumia ya stanbic personal current acc. Ndio uitumie kufanya malipo ya usd.
Mkuu hii account ya dollar ya stanbic, wanacharge kiasi gani kwa mwezi? Makato yake yapoje?
 
Gharama za makato ya kurndesha hii account zikoje mkuu!?
 
IMG_0639.jpeg

Failed State.!
 
Mkuu hii account ya dollar ya stanbic, wanacharge kiasi gani kwa mwezi? Makato yake yapoje?
Makato kwa mwezi hamna, sijawai ona wanakata kwa mwezi. Nadhan wao wanakata makato ya mwaka na ada ya card ya atm kwa mwaka around 3.5isd! Wako very fair aisee!

Nenda stanbic bank ulizia "account ya personal current account" hakikisha wamekupa atm kadi ya rangi ya gold na uwaambie unatakaniwe inafanya manunuzi online!
 
Gharama za makato ya kurndesha hii account zikoje mkuu!?
Makato kwa mwezi hamna, sijawai ona wanakata kwa mwezi. Nadhan wao wanakata makato ya mwaka na ada ya card ya atm kwa mwaka around 3.5isd! Wako very fair aisee!

Nenda stanbic bank ulizia "account ya personal current account" hakikisha wamekupa atm kadi ya rangi ya gold na uwaambie unataka iwe inafanya manunuzi online!
 
Back
Top Bottom