Sawa mkuu ngoja nifanye mchakato nitakapo rudi.. nichukuwe hiyoMakato kwa mwezi hamna, sijawai ona wanakata kwa mwezi. Nadhan wao wanakata makato ya mwaka na ada ya card ya atm kwa mwaka around 3.5isd! Wako very fair aisee!
Nenda stanbic bank ulizia "account ya personal current account" hakikisha wamekupa atm kadi ya rangi ya gold na uwaambie unataka iwe inafanya manunuzi online!
So itakubidi u exchange kwanz Tshs kwenda Usd ndio uka Deposit kwa Teller.. !? Au awanafanya autoexchange ?Makato kwa mwezi hamna, sijawai ona wanakata kwa mwezi. Nadhan wao wanakata makato ya mwaka na ada ya card ya atm kwa mwaka around 3.5isd! Wako very fair aisee!
Nenda stanbic bank ulizia "account ya personal current account" hakikisha wamekupa atm kadi ya rangi ya gold na uwaambie unataka iwe inafanya manunuzi online!
Sio promo mkuu, kwenye ukweli lazima tuseme na kama mtu anafanya kitu kizuri pia lazima tumwambie.Sawa mkuu ngoja nifanye mchakato nitakapo rudi.. nichukuwe hiyo
Itanilazimu ku unlink hii nmb na payorneer kisha ni link hii najuwa nitakuwa na withdraw dollars tu ATM😄😄
Umeipigia promo za kutosha
Autoexchange ndio njia nlikua natumia miaka ya nyuma kabla dola haijawa changamoto yaani nilikua naenda na TZS nawaambia wadeposit then wanadeposit dola kwa kuangalia rate ya siku iyo ila baada ya usd kuwa changamoto bank kama bank wanakwambia hawana dola so unaenda kitaa kutafuta dola then unaleta una deposit!So itakubidi u exchange kwanz Tshs kwenda Usd ndio uka Deposit kwa Teller.. !? Au awanafanya autoexchange ?
Nmb Wana account moja inaitwa prepaid account hi Haina makato yoyote yale ya mwezi wala mwaka,Hapana ni 2800 kafanye transaction mtandaoni
Hiyo acc ni ya USD? Maana kama ni ya TZS ukilipa malipo ya USD jua ataishia kupewa ma rate yasiyo na kichwa wala miguu.Nmb Wana account moja inaitwa prepaid account hi Haina makato yoyote yale ya mwezi wala mwaka,
kwa wafanya biashara wa mitandaoni ndio inawafaa sana.
Hata yale maeneo yenye uhitaji wa kuchanja hi pia inafaa yani ukatwi pesa zaidi ya inayo itajika kulipa huduma.
Pia inalipa kwa pesa yoyote ile bure na unatoa pesa atm yoyote ile na unatoa pesa aina yoyote ile kutokana na inchi usika
Na ni 10000 kufungua
Nenda Nmb bank yoyote ulizia hii prepaid personal account
Wengi hawa ijui hii.
Ni zawadi kwa wananchi wa Tanzania hasa wafanyabiashara.
Ni kirudi bongo nitakwenda.. , customer care wa bongo tunajua namna ya kudeal naoSio promo mkuu, kwenye ukweli lazima tuseme na kama mtu anafanya kitu kizuri pia lazima tumwambie.
Mpaka niliamua kuwatumia stanbic nilisha zunguka vya kutosha mpaka nikasettle na stanbic!
Mfano acc ya dola ya crdb na nmb makato kwa mwezi ni around 15usd wakati makato kwa mwezi stanbic ni 0usd, hapo unahitaji PhD ya Physics kujua wapi panafaa?
NB: Ila itategemea branch utayoenda sometimes jiandae na majibu ya wahudumu..nadhani umenielewa.
Sio promo mkuu, kwenye ukweli lazima tuseme na kama mtu anafanya kitu kizuri pia lazima tumwambie.
Mpaka niliamua kuwatumia stanbic nilisha zunguka vya kutosha mpaka nikasettle na stanbic!
Mfano acc ya dola ya crdb na nmb makato kwa mwezi ni around 15usd wakati makato kwa mwezi stanbic ni 0usd, hapo unahitaji PhD ya Physics kujua wapi panafaa?
NB: Ila itategemea branch utayoenda sometimes jiandae na majibu ya wahudumu..nadhani umenielewa.
1. Makato ya USD to USD ni 0 (hakuna).Mkuu hii akaunti ya dola stanbic, unapofanya malipo mtandaoni wakata kiasi gani kwa transaction, kwa mfano nataka nilipie $500 makato yao yapoje?
Na nikitaka kufungua hiyo akaunti niwe na nini na nini?
Asante kwa taharifa mkuu ngoja j3 niwacheki1. Makato ya USD to USD ni 0 (hakuna).
2. Ukienda tawini watakupa mwongozo ila nnavokumbuka passport lazima uwe nazo.. NB: Acc lazima iwe "personal current account" na waambie wakupe card ya gold na iwe ya usd na imewezeshwa kufanya online purches!