6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Sawa mkuu ngoja nifanye mchakato nitakapo rudi.. nichukuwe hiyoMakato kwa mwezi hamna, sijawai ona wanakata kwa mwezi. Nadhan wao wanakata makato ya mwaka na ada ya card ya atm kwa mwaka around 3.5isd! Wako very fair aisee!
Nenda stanbic bank ulizia "account ya personal current account" hakikisha wamekupa atm kadi ya rangi ya gold na uwaambie unataka iwe inafanya manunuzi online!
Itanilazimu ku unlink hii nmb na payorneer kisha ni link hii najuwa nitakuwa na withdraw dollars tu ATM😄😄
Umeipigia promo za kutosha