Kwanini flash 64gb,128gb + hazisomi kwenye flat TV na deki nyingi?

Mkuu samahan nje ya mada...
Hivi dvd player ya gari ni format gan ya video inakubali.
Maana nikiweka video kwenye flash, video nyingine zinaplay nyingine zinagoma.. Wakati zote huwa nazidownload youtube kwa format moja!
Kwanza YouTube haina mfumo mmoja Kuna av1, vp8, vp9, x264 etc japo unaweza ona zote zinaishiwa na. Mp4 ila codecs zinaweza kuwa tofauti.

Ungepata model ukai Google ingekuwa rahisi kujua.

Ila kuwa safe Jaribu. Mp4 ya x264 ni format ya zamani na ipo almost vifaa vyote vya miaka ya Karibuni.

Ikikataa tumia video editor eka huo mfumo wa DVD, convert ziende DVD eka kwenye flash itaplay I hope.
 
Asante nitajaribu
 
Ndio mwisho wa uwezo wake, kama specification ilikuwa kusoma mpka ya gb32 haiwez soma zaid ya hapo, kila device huwa na limit ya flash au memory card ianyoweza soma, mf simu kitochi uweke memory card ya 1tb
Sorry
Napenda kujua
1Tb memorycard inaweza kusoma vizuri kwenye Samsung A2 core?
 
Nyingi sio NTFS (New Technology Filing System)
 
Uko sahihi lakin flsh ya 1 tb uki format kwa fat32 inapoteza uwezo wake wa kuhifadh vitu vingi na badala yake itahifadh vitu mwixho gb 32 tuh kulingana na fat32 partition limitation
 
Uko sahihi lakin flsh ya 1 tb uki format kwa fat32 inapoteza uwezo wake wa kuhifadh vitu vingi na badala yake itahifadh vitu mwixho gb 32 tuh kulingana na fat32 partition limitation
Hapana inahifadhi vyote unless iwe feki, kwenye handheld zangu kama Psp huwa natumia sd card kubwa na unaijaza vizuri tu.
 
Nkuba

Hapana inahifadhi vyote unless iwe feki, kwenye handheld zangu kama Psp huwa natumia sd card kubwa na unaijaza vizuri tu.
Kwa nojuavyo mim format ya fat32 ina limit ya kuingiza file video au game wixho gb 4 tuuh isizid na kwa ukubwa wa vitu vyote vitakaingia visizid gb 32
Kulingana na maelekezo ya fat32 partition limitation
Na ukitaka ibebe vitu zaid ya uwezo huo bac utalazimika kui format kwa exfat au NTFS
 
Unachoongea ni sahihi sababu kipindi specification za FAT32 zinawekwa 32GB ndio ilikuwa storage kubwa zaidi. Hivyo on paper ni 32GB ila uhalisia hadi 2TB unaweka na FAT32.

Same kwa exFat kipindi inatoka ukisoma simu zake utaona wanaandika up to 64GB ila siku hizi kuna exfat za GB 512 kibao na zinakubali mpaka vifaa vya zamani.
 
Nkuba

Hapana inahifadhi vyote unless iwe feki, kwenye handheld zangu kama Psp huwa natumia sd card kubwa na unaijaza vizuri tu.
Kwa nojuavyo mim format ya fat32 ina limit ya kuingiza file video au game wixho gb 4 tuuh isizid na kwa ukubwa wa vitu vyote vitakaingia visizid gb 32
Kulingana na maelekezo ya fat32 partition limitation
Na ukitaka ibebe vitu zaid ya uwezo huo bac utalazimika kui format kwa exfat au NTFS
Vifaah vya zaman kama dvd player na tv??
 
Kifaa chochote mkuu
 
Mboni mim kila nikijaribu hua inashia gb 32 mwixho nikizidixha hapo zinakua virus sio file tena
Angalia storage yako mkuu, umejaribu kuipima na app inayoonesha ukubwa wake? Kuna storage feki zinasema zina GB nyingi kuliko uhalisia.

Download H2testW halafu run chagua storage yako itajaza mafile na kupima uwezo halisi.
 
Naomba unitumie link ya iyo program kama hutojal bos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…