Huwa naikumbuka sana picha ya Rais Samora Machel aliyopiga na P W Botha ,Wazir Mkuu wa Africa Kusini,tarehe 13 March 1984.
Wakati huo nilikuwa darasa la Tatu.Baba alikuwa akienda mjini anarudi na Gazeti la Mfanyakazi hata kama ni la wiki tatu!
Picha ile inamionesha Rais Samora akisaini Mkataba wa Amani na Ujirani mwema na Makaburu!
Samora alikuwa amekunja sura ,na hali ya mwili kutokubaliana na moyo!
Mkataba huu,ulikuwa ni Mkatabauliolenga kupunguza uhasama baina ya nchi mbili!
Samora alifanya jambo hili Kwa shingo upande,hata nchi zilizokuwa Mstari wa mbele na SADC hazikukubaliana.
Lakini Samora alifanya Yale kulinda maslahi ya Msumbiji na SI vinginevyo!
Kumbuka Siasa za Dunia miaka ile ndipo zilipoanza kugeuka kwa Kasi!
Ninachotaka kusema hapa kwenye Siasa hakuna maslahi ya kudumu!
Kuna wakati unasukumwa na Upepo na upepo wakati hio ndio Siasa Yenyewe
TaiFa letu limepitia kipinddi kigumu Cha kufanya Siasa Kwa kipindi Cha miaka mitano.
Vyama vua Upinzani vimekendamizwa Kwa kiwango kikubwa ,ilihitaji wenye Mioyo ya ziada kuhimili
Mbowe ni mojawapo ya waliopitia magumu,sio ktk Chama chake TU ,hata maisha take Binafsi.
Hatuwezi kusema yeye n Shujjaa wakuweza kuhimili yote.
Kuna wakati kwenye mapambano unaweza kurudi nyuma ,kupima upepo!
Siasa hutafsiriwa kuwa...Who ,Gain What,When and How.
Mnafikiri Mandela alitoka Gerezani ,bila ku'compromise.
Mabadiliko ya Kisera zaa Uwekezajji ktk nchi za Afrika ilikiwa ni mojawapo ya masharti na Makubaliano ya Mmandela ,Makaburu ,na wakubwa wngine'.Ndio maana hata sisi Tanzania tuligeuka ghafla tukaanza kuwaita Makaburu ...Wawekezaji😂
Hii ndio Siasa !
Msione ajabu Mh.Mbowe kwenda Kwa mama Usikuusiku!
Mbowe is there to Stand !
Na Yehova atasimama naye!