Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mnaongea maneno mengi sana, kamanda amefika bei.
Yupo huru kwa gharama kubwa.
Mwanaume Rijali kwenda kwa mwanamke usiku sio jambo la ajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaongea maneno mengi sana, kamanda amefika bei.
Yupo huru kwa gharama kubwa.
🤭🤭🤭😲😲😲 aibu naona mmAcha Uongo toa hizo Picha
Taarifa ya wito unaweza tuwekea hapa tuione?Vp kama ni yeye Mbowe aliomba kumuona mama?.Simple, aliitwa aende usiku, simple! Swali lingekuwa Kwanini Samia haraka haraka akamuita Mbowe Ikulu Tena usiku?