Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Angalieni video hapo chini?

Kwanini Mbowe hafungwi pingu?

Kulingana na maelezo ya Polisi, Mbowe ndio kinara, sponsor, na mastermind, wa tuhuma zilizoko mahakamani.

Polisi wanasema Mbowe ndiye aliyewa-recruit washtakiwa wenzake watatu wakafanye waliyotaka kufanya.

Bila Mbowe kuwa na malengo mabaya, hawa washtakiwa watatu wasingekuwa mahakamani.

Miimi ni mshabiki wa Chadema, lakini ktk hili la kuwatia pingu kina Adamoo na kumuacha Mbowe, ninapinga.

Ni ama wote watiwe pingu, au wote wasitiwe pingu.
 
Mbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
Mtu wa Mungu na atamkomboa kwa yote yanayoendelea.
Mungu hajawahi shindwa.
 
Katili mno mtoa hoja hii,Mr.Mbowe sio Gaidi na pia hakuna ugaidi wa kufadhiliwa na 500usd hapa duniani!na mwisho ni Mr.Mbowe ni very very low risk suspect!

Ama watuhumiwa wote wafungwe pingu au watuhumiwa wote wasifungwe pingu.

pasiwepo na ubaguzi miongoni mwa watuhumiwa.

..mimi ni shabiki wa Chadema lakini jambo hili linanichukiza.
 
Mbowe ni rahisi kumdhibiti kuliko hao komandoo.

wakiamua kulianzisha kwenye umati wa watu pale mahakamani, inaweza sababisha tatizo kubwa kwa raia wengine.
Binafsi nimekuelewa
 
Mbowe bila hatia yupo kwenye mahabusu za Samia.

Sina shaka hata kidogo, Samia kwa muda ulio sahihi atakaa kwenye mahabusu ya Mungu.

Tundu Lisu alishambuliwa kwa risasi za Magu. Magu alishambuliwa kwa risasi ya Muumba.

Muumba hakosei, habahatishi, hatishii. Atakalolitenda kwa Samia, Kingai na wenzake, wakati itakapkuwa sahihi, sote tutanena kuwa hakika Muumba wenye ni hakimu wa haki, tena ahukumuye wakati ufaao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…