Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Safe to say, the powers that be trying to display some level of respect towards Mbowe simply because he happens to be a Big Shot aka Kigogo.He is bilionare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safe to say, the powers that be trying to display some level of respect towards Mbowe simply because he happens to be a Big Shot aka Kigogo.He is bilionare
Hakika kabisa...Mbowe bila hatia yupo kwenye mahabusu za Samia.
Sina shaka hata kidogo, Samia kwa muda ulio sahihi atakaa kwenye mahabusu ya Mungu...
Wewe uliye muona hafungwi pingu nimbowe tu?! Huyo Jambazi wenu aliye fungwa miaka30 jela nilini uliyona kafungwa pingu hata baada ya mahakama kuthibitisha kuwa nijambazi
Labda kwa vile baada ya kutoroka nchi na kukaa sana nje ya nchi aliamua hatimaye kurudi mwenyewe japo wenzake wengine walisha fungwa...angalieni video hapo chini?
..kwanini Mbowe hafungwi pingu?....
Really!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani..ama watuhumiwa wote wafungwe pingu.
..au watuhumiwa wote wasifungwe pingu.
..pasiwepo na ubaguzi miongoni mwa watuhumiwa.
..mimi ni shabiki wa Chadema lakini jambo hili linanichukiza.
IT'S EITHER
1. Kwa sababu hao ni askari hatari wenye mafunzo ya "u - komandoo" huku Mbowe yeye akiwa ni raia tu asiye na madhara yoyote...
OR
2. Kwa sababu wanajua kuwa Mbowe SI GAIDI..
Really!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani
Labda kwa vile baada ya kutoroka nchi na kukaa sana nje ya nchi aliamua hatimaye kurudi mwenyewe japo wenzake wengine walisha fungwa.
Yawezekana kutokea hapo, kama isingekuwa sheria zilizopo hata angekuwa anatokea nyumbani tu bila hata ya ulinzi wa askari Magereza.
Kawaulize hao waliomshtaki..hata wakina adamoo hawajathibitika kuwa ni magaidi.
..sasa kwanini wao watiwe pingu, huku anayetuhumiwa kuwatuma na kuwafadhili hatiwi pingu?
wewe umeona pingu tu jamaa anavaa nguo safi zimepigwa, kanyoa vizuri halafu kanawiri safi, sisi tulitaka achoke kama Sabaya..angalieni video hapo chini?
..kwanini Mbowe hafungwi pingu?..
Wee Mzee you must be out of your damn mind. You seem outraged, too emotional and react like your empty-headed, Jesus worshiping granny. Get yourself together dude.1. Mbowe ni hatari zaidi kwasababu ndiye instigator, planner, na financier wa ugaidi inaosemekana walitaka kuufanya...
Wee Mzee you must be out of your damn mind. You seem outraged, too emotional and react like your empty-headed, Jesus worshiping granny. Get yourself together dude.
Mkuu tuelimishe kuhusu hizo proceduresReally!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani
..Na hapo ndio umeniongezea pointi.
..kama Polisi wanadai Mbowe alitoroka nchini basi hiyo ni sababu tosha ya kumfunga pingu ili asitoroke tena...
Wewe mataga rudi kwenye ubikra siasa hazikufai...tena alitakiwa afungwe mpaka pingu za kwenye miguu.
..it doesnt make sense wafuasi wa ugaidi wanafikishwa mahakamani wamefungwa pingu huku kiongozi wao hana pingu.