Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

Mbowe bila hatia yupo kwenye mahabusu za Samia.

Sina shaka hata kidogo, Samia kwa muda ulio sahihi atakaa kwenye mahabusu ya Mungu...
Hakika kabisa...

Hawa wanacheza na moto bila kujua. Utawachoma bila huruma...!!
 
Wewe uliye muona hafungwi pingu nimbowe tu?! Huyo Jambazi wenu aliye fungwa miaka30 jela nilini uliyona kafungwa pingu hata baada ya mahakama kuthibitisha kuwa nijambazi

..sijafuatilia suala la Sabaya.

..lakini na yeye anatakiwa kutendewa sawa na watuhumiwa wenzake.
 
Dharau kubwa Sana kwa Freeman Mbowe, familia, Wana CDM na Watanzania kwa ujumla bila kusahau jumuia za kimataifa. Ni aibu na dharau kutumia Kodi na rasilimali za Watanzania ikiwemo muda kuendesha Shauri batili tangia awali.Ipo siku kuna watu watalipa kwa ujinga huu.
 
..angalieni video hapo chini?

..kwanini Mbowe hafungwi pingu?....
Labda kwa vile baada ya kutoroka nchi na kukaa sana nje ya nchi aliamua hatimaye kurudi mwenyewe japo wenzake wengine walisha fungwa.

Yawezekana kutokea hapo, kama isingekuwa sheria zilizopo hata angekuwa anatokea nyumbani tu bila hata ya ulinzi wa askari Magereza.
 
..ama watuhumiwa wote wafungwe pingu.

..au watuhumiwa wote wasifungwe pingu.

..pasiwepo na ubaguzi miongoni mwa watuhumiwa.

..mimi ni shabiki wa Chadema lakini jambo hili linanichukiza.
Really!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani
 
IT'S EITHER

1. Kwa sababu hao ni askari hatari wenye mafunzo ya "u - komandoo" huku Mbowe yeye akiwa ni raia tu asiye na madhara yoyote...

OR

2. Kwa sababu wanajua kuwa Mbowe SI GAIDI..

1. Mbowe ni hatari zaidi kwasababu ndiye instigator, planner, na financier wa ugaidi inaosemekana walitaka kuufanya.

2. Sasa kama Mbowe sio gaidi, basi hata hao wengine sio magaida. I dont see how Mbowe anaweza kupatikana hana hatia, halafu hao wengine wakakutwa wana hatia.

NB:

..Kwa wanaopenda HAKI inakera kuona washtakiwa ktk kesi moja wanatendewa tofauti.
 
Really!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani

..unatakiwa kunielimisha, sio kunitukana.
 
Mtoa mada asante kwa kuliona hilo, mm ni shabiki wa Chadema lkn mwenyewe nimeshastukia mchezo!

Hisia zangu zinanipeleka mbari sana kuwa hawa watu ni watu wa JK,kama sio watu wa CCM, sisi tunakua brainwashed tu!!
 
Labda kwa vile baada ya kutoroka nchi na kukaa sana nje ya nchi aliamua hatimaye kurudi mwenyewe japo wenzake wengine walisha fungwa.

Yawezekana kutokea hapo, kama isingekuwa sheria zilizopo hata angekuwa anatokea nyumbani tu bila hata ya ulinzi wa askari Magereza.

..Na hapo ndio umeniongezea pointi.

..kama Polisi wanadai Mbowe alitoroka nchini basi hiyo ni sababu tosha ya kumfunga pingu ili asitoroke tena.

..wale washtakiwa wengine Polisi wanadai waliwakamata bila resistance yoyote, na wametoa maelezo ya kukiri makosa kwa hiyari bila kulazimishwa.

..Katika mazingira hayo kwanini Mbowe ambaye ni mtoro na mtukutu hana pingu, na watuhumiwa waliotoa ushirikiano tangu mwanzo wana pingu?
 
Either wanaona aibu au wanaogopa, wanapenda kuishia kumtuhumu tu ili kutimiza malengo yao kisiasa, lakini kitendo cha kumfunga pingu wanaona italeta image mbaya zaidi kwa nchi, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania sio mtu mdogo hata kidogo.
 
..angalieni video hapo chini?

..kwanini Mbowe hafungwi pingu?..
wewe umeona pingu tu jamaa anavaa nguo safi zimepigwa, kanyoa vizuri halafu kanawiri safi, sisi tulitaka achoke kama Sabaya
 
1. Mbowe ni hatari zaidi kwasababu ndiye instigator, planner, na financier wa ugaidi inaosemekana walitaka kuufanya...
Wee Mzee you must be out of your damn mind. You seem outraged, too emotional and react like your empty-headed, Jesus worshiping granny. Get yourself together dude.
 
Wee Mzee you must be out of your damn mind. You seem outraged, too emotional and react like your empty-headed, Jesus worshiping granny. Get yourself together dude.

..Na Mbowe anatuhumiwa kutoroka nchini kabla hajakamatwa.

..Je, huyo sio mshtakiwa anayetakiwa kufungwa pingu wakati wote?
 
Really!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani
Mkuu tuelimishe kuhusu hizo procedures
 
..Na hapo ndio umeniongezea pointi.

..kama Polisi wanadai Mbowe alitoroka nchini basi hiyo ni sababu tosha ya kumfunga pingu ili asitoroke tena...

Hapana mkuu huyu alirudi hivyo hana mpango wa kwenda tena. Si unajua Lijenje bado amefichama? Hizo ndiyo tabia zao sasa makomando.
 
..tena alitakiwa afungwe mpaka pingu za kwenye miguu.

..it doesnt make sense wafuasi wa ugaidi wanafikishwa mahakamani wamefungwa pingu huku kiongozi wao hana pingu.
Wewe mataga rudi kwenye ubikra siasa hazikufai.
 
Kikawaida Gerezani kuna vyumba maalumu vya mahabusu/wafungwa wa VIP na wa kawaida, Mbowe ni mahabusu VIP.

Hata chumba anacholala Mbowe ni tofauti kabisa na vyumba wanavyolala mahabusu wa kawaida, kina huduma zote kitanda, godoro, tv na magazeti analetewa ya kila siku...

Hata vyakula sio vile wanavyokula mahabusu wote.

Ndio maana hujawi kusikia mawakili wa Mbowe wakilalamika kuhusu Mbowe anavyotendewa mahabusu.

Mbowe hata akisomewa miaka kuna unafuu fulani anao tofauti na mwenzangu na mimi.
 
Back
Top Bottom