Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Hadhi ya Mbowe mbele ya umma ya Watanzania siyo sawa na ya hao washitakiwa wengine. Mbowe ni important political public figure. Dunuia nzima wanafuatilia hii kesi, kwa hiyo usishangae hawajamfunga pingu kama Washitakiwa wenzake...Na Mbowe anatuhumiwa kutoroka nchini kabla hajakamatwa.
..Je, huyo sio mshtakiwa anayetakiwa kufungwa pingu wakati wote?
That T shirt costs an arms and a legMbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
That T shirt costs an arms and a legMbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
Unapenda haki huku umependa kesi ya kubambikia. Maajabu ya kishetani1. Mbowe ni hatari zaidi kwasababu ndiye instigator, planner, na financier wa ugaidi inaosemekana walitaka kuufanya.
2. Sasa kama Mbowe sio gaidi, basi hata hao wengine sio magaida. I dont see how Mbowe anaweza kupatikana hana hatia, halafu hao wengine wakakutwa wana hatia.
NB:
..Kwa wanaopenda HAKI inakera kuona washtakiwa ktk kesi moja wanatendewa tofauti.
Kikawaida Gerezani kuna vyumba maalumu vya mahabusu/wafungwa wa VIP na wa kawaida, Mbowe ni mahabusu VIP...
Mbowe sio komandoo au John Sina pingu za nini..angalieni video hapo chini?
..kwanini Mbowe hafungwi pingu?....
Video iko wapi mkuu 'Joka'?..angalieni video hapo chini?
..kwanini Mbowe hafungwi pingu?...
Limejibiwa kuwa yeye ana kisukari na ikitokea akapata kidonda hali inaweza kuwa mbaya!!..angalieni video hapo chini?
..kwanini Mbowe hafungwi pingu?..
Acha kuongea kama majinun Carlos alikua mpole sanaGaidi ana sura na kauli za kistaarabu kama Mbowe???
Nchi uchwara hii kila kitu maigizo tu
Hebu tujaribu mfano wa vita...ama watuhumiwa wote wafungwe pingu.
..au watuhumiwa wote wasifungwe pingu...
Ziko bei gani hizo siku hizi?Mbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
Matukio yaliyothibitisha ugaidi wake sasa ni yapi? Ama kina adamoo kukutwa na bastola yenye maganda ya risasi tofauti na bastola enyewe🤣🤣🤣🤣🤣 na risasi moja! Ama ile pesa yenye ilitumwa kwa tgo pesa! Eti kwamba Mbowe ni Osama bin laden ihiiiiii bagosha..tena alitakiwa afungwe mpaka pingu za kwenye miguu.
..it doesnt make sense wafuasi wa ugaidi wanafikishwa mahakamani wamefungwa pingu huku kiongozi wao hana pingu.
Alitaka wafanane ama wawe wakikutana Ilala kwenye mitumba au kwenye mataputapu na miguu ya kuku ManzeseHe is bilionare
..angalieni video hapo chini?
..kwanini Mbowe hafungwi pingu?...
Nikuombe umtake radhi kwanza JokaKuu kwa kutukana, humjui vizuri na pia hujaelewa dhima ya uzi huu. Hii aina ya uandishi anapenda sana kuitumia Mzee Mwanakijiji inaitwa 'satire'. 'in a satirical way'Really!!unachukia kuona Mr.Mbowe hana pingu mikononi!upumbavu at his best,soma kwanza standard procedures za police Tanzania kuhusu upelekaji wa suspects mahakamani
Mchadema hawezi kuwa na akili ndogo kiasi hicho..ama watuhumiwa wote wafungwe pingu.
..au watuhumiwa wote wasifungwe pingu...
Ni kichekesho kumuita JokaKuu mataga..Wewe mataga rudi kwenye ubikra siasa hazikufai.
Mkuu JokaKuu aina ya uandishi kwenye huu uzi vijana hawaielewi kabisa, shida sana hii..Wee Mzee you must be out of your damn mind. You seem outraged, too emotional and react like your empty-headed, Jesus worshiping granny. Get yourself together dude.
AMINAMbowe bila hatia yupo kwenye mahabusu za Samia.
Sina shaka hata kidogo, Samia kwa muda ulio sahihi atakaa kwenye mahabusu ya Mungu...