kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Sio kweli,ufaransa haikutumia huo mfumo,instead ufaransa ilitumia assimilation policy yani iliyachukulia makoloni yake kama territories zake zilizo overseas.Ufaransa walitawala nchi hizo kwa mtindo.wa divide and rule, kutengeneza matabaka na kuyachonganisha.
Zile chuki.zimedumu hadi sasa.