kwa kitendo ambacho amekionyesha bwana PK ni dhahiri kuwa kichwa chake kimelia alarm, ni kwamba anahisi hayuko salama kwa hizi coup d'etat zinaoendlea Africa. Sasa haya yote ya nini kwanini usistaafu kwa heshima mambo mengine yakaendele. Najaribu kuwaza hivi hawa waliostaafishwa hawawezi kuwa...
Mambo yanazidi kua mambo nchini Niger. Wananchi wengi wao wakiwa wakina Mama waandamana jirani na kambi ya Jeshi ya Ufaransa iliyopo nchini hapo wakishinikiza waondoke. Wakina Mama hao wamekusanyika wakiwa na Vyombo kama sahani za bati na Masufuria wakiyagonganisha kupiga kelele huku wakiimba...
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa Juzi tena...
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking
2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking
3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking
4.) SIERRA LEONE - has seen conflicts relating to diamond resources- French speaking
5.) IVORY COAST - Recently went through civil war involving laurant Bagbo - French speaking
6.) RWANDA - Has seen its share of violence, allegedly funds M23,gone through genocide - French speaking
7.) BURUNDI - Has seen its share of violence - French speaking
8.) CONGO BRAZAVILLE - Has seen its share of violence - French speaking
Take a look at the non-french speakers.. (After independence)
1.) TANZANIA - Peaceful - Swahili speaking
2.) KENYA - Peaceful - English/Swahili speaking
3.) SOUTH AFRICA - Peaceful -English speaking
4.) NAMIBIA - peaceful - English speaking
5.) ZAMBIA - Peaceful - English speaking
6.) MALAWI - Peaceful - English speaking
7.) MOZAMBIQUE - Peaceful - portuguese speaking
8.) BOTSWANA - peaceful -English speaking
========================== View attachment 2716206
9.) Hivi Burkinafaso nayo ni french speaking?
10.) Hivi Niger nayo ni French speaking?
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae. Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’? Msingi wa mkataba huu ni...
Kwa sababu waanzilishi wa dini hizo wanapenda sana kuishi kwenye majangwa, na kwenye majangwa kuna mafuta sana, na mafuta huchochea mabeberu kufadhili vikundi vya uasi kwa kisingizio cha jihad ili kujichotea mafuta. Thats why.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.