Kwanini fukwe za Tanzania hazina wanawake warembo?

Kwanini fukwe za Tanzania hazina wanawake warembo?

Macho yako tu wapo wengi sana... ila kama unaenda beach saa kumi na mbili asubuhi au saa mbili usiku huwezi kuwaona...


Cc: mahondaw
 
Kwa sababu mahandsome na wenye pesa zao hawaendi Coco beach wanaume wanaoenda huko wengi ni madereva taxi, bodaboda na wanuka jasho tu wa mjini.... Povu ruksa
 
Back
Top Bottom