Kwanini fukwe za Tanzania hazina wanawake warembo?

Kwanini fukwe za Tanzania hazina wanawake warembo?

Unasema tunaenda kudanga beach
Sijasema neno kudanga mkuu, nimesema kuangalia fursa! Kuna bro wangu kafunga ndoa mwezi ulopita na mkewe walikutana hapo Coco mie pia nna karembo flani pia nilikutana nako Ndege beach
 
Back
Top Bottom