Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Udhalilishaji uko wapi hapo?Acha kutudhalilisha bna.grow up man
Unasema tunaenda kudanga beachUdhalilishaji uko wapi hapo?
Sijasema neno kudanga mkuu, nimesema kuangalia fursa! Kuna bro wangu kafunga ndoa mwezi ulopita na mkewe walikutana hapo Coco mie pia nna karembo flani pia nilikutana nako Ndege beachUnasema tunaenda kudanga beach
Sio kweli.Sijasema neno kudanga mkuu, nimesema kuangalia fursa! Kuna bro wangu kafunga ndoa mwezi ulopita na mkewe walikutana hapo Coco mie pia nna karembo flani pia nilikutana nako Ndege beach
Miss Natafuta sikuwa na sijawahi kuwa na sitokuwa na aina yeyote ya dharau kwa wanawake na kama umenielewa vibaya nisamehe mkuu nisamehe sana kwa kukukwaza kwa post zanguSio kweli.