Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Sapoti ya media anaipata sana, anashindwa mwenyewe tu
 
Labda umeanza kufuatilia muziki juzi!! Way back alikuwa na ngoma yake inaitwa "bado muda kidogo" ft. JCB Makalla and Chindo umbwa! Na nyingine iliitwa "right here" fr. Banx na Chindo!! Aysee hizo ngoma zilihit sana!! Ipo na mama yoyoo na ile OG
Hizo ngoma zilisikika tu, hazikuhit. Wanaozijua ni wafatiliaji wa muziki
 
Mbona Drake anafanya hivyo ila anafanbase konki duniani
 
Sapoti ya media anaipata sana, anashindwa mwenyewe tu
Nadhani pia ifike mahala jamaa atumie maneno ya 'kienyeji'... kwenye nyimbo zake za kuimba imba...anavyofanyaga utunzi wa kihiphop kwenye nyimbo zake za kuimba anawachanganya tu mashabiki wa aina hiyo ya muziki ambao wengi ni akili nyepesi na hawapendi kuumiza vichwa.
 
namwelewa sana huyo kiumbe sana hapo kati alijiharibia kwa yale maskendo na matuio ya ajabu but toka miaka ile yupo poa sana na ile sauti yake ni hatari, akijipanga akapata ingia WEUSI inaweza mbeba zaidi japo si lazima kuwa huko
Yupo weusi mbona, hukumsikia kwenye wapoloo na hizi ngoma mbili mpya?
 
Arosto ni ya nani vile?
Hii ngoma ili hit sana ilishika namba moja kwenye radio station nyingi tu.
Hitsong inaonekana mtaani sio kwenye charts za Redio. Mfano 'Iokote' ya Maua Sama hata kama usikilizi Redio unaijua tu, kwasasa kuna huu wimbo wa Marioo 'Chibonge', wimbo kama huo lazima uujue hata usipokuwa na Redio, hiyo ndo maana ya hitsong
 
Mbona Drake anafanya hivyo ila anafanbase konki duniani
Ratio ina matter mkuu..
Drake ni rapper...anatoa albums za zina robo 3 ya ngoma za kurap, anatoa mixtapes za rap, ana beef za rap, anafanya collabos za rap. Identity yake iko clear, ni r rapper though sometimes anaimbaimba.
G-nako Ni approximately 75% opposite ya hiki nlichoandika.
 
Mkuu lucky me mbona ili hit fresh tu
 
Kwasababu alisema UKIMLETEA BOYA ANAMFUA HATA KAMA ANA MAFUA?
 
Mama yoyote sijui ulikwama wapi!? Ila ulisumbua kidogo.
 
Akijitenga na Weusi ndo amejimaliza, hana uwezo wa kusimama Solo, mtu pekee mwenye uwezo wa kusimama Solo ni Joh Makini
Unaijua mama yeyoo? Gnako ft Ben pol yule jamaa anaweza kusimama peke yake sema ndo ivo ushkaj mwingi
 
Hapa nilipo nina mafua ukinipa kipaza nakamua
 
"UKINILETEA BOYA NAMFUA HATA KAMA ANAKIFUA/HAPA NILIPO NINA MAFUA,UKINIPA KIPAZA NAKAMUA"
 
Mama Yeyoo,,Original......hizo ni moja ya hit songs zake
 
Awe pekee ashirikishwe kwangu G Nako anahit..
Wakata mauno karibuni Tamaduni Muzik.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…