Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Gnako ni chorus killer kama walivyokua kina Dully sykes na Juma nature, ila akitoa ngoma yake yeye kama yeye huwa hazihit sijui anakwama wapi
 
Huyu simjui, ila namfahu Lord Eyes, Ibra da hustler.

Kuna verse moja Lord Eyes anasema " UKINILETEA BOYA NAMFUA HATA KAMA NINA MAFUA"

Sijawahi kuona Hip hop artist kama huyu jamaa kwa hapa Tz. Namkubali sana. Ingawa naona amerudi kwenye game na anafanya vizuri mfano Wimbo wa WEUSI unaitwa SHOW TIME ameimba vizuri sana na yule jamaa mwembamba mwenye suit ya Maruni.
Dah kuna watu mna dharau sana alikugongea nini?
 
ile remix inaanza "mchumba nimekupa kila kitu mpaka nahisi nakudai hivi/ mitumba haifai jijini...."
G Nako kweli hana hit song ila akioata hata sekunde 5 tu kutia verse kwenye wimbo huwa hakosei kizembe.
Ngoja kwanza nika-download "Mama yeyo" hata kama sio hitsong ila kitu kiko standard
 
Ili ngoma i-hit, kuna mambo mengi nyuma ya pazia. Kurekodi ni upande mmoja wa shilingi. Upande wa pili ndo business mind! Kujuana, ushkaji na mapresenter, kuhonga airtime, Kiki, ufuatiliaji wa msanii, interview s n.k...kwa hiyo...Kuwa na kipaji hakutoshi...hapo ndo wanapotofautiana
 
Labda umeanza kufuatilia muziki juzi!! Way back alikuwa na ngoma yake inaitwa "bado muda kidogo" ft. JCB Makalla and Chindo umbwa! Na nyingine iliitwa "right here" fr. Banx na Chindo!! Aysee hizo ngoma zilihit sana!! Ipo na mama yoyoo na ile OG
 
Kingine, Gnako anaimbaga tu bila target market maalumu...this time yuko hivi, akija na wimbo mwingine yuko vile .. si kitu kibaya, lakini kinampunguzia ile mashabiki kindakindaki...afu anakosa identity..huwezi jua jamaa ni rapper au muimbaji kisa hiyo mediocrity yake.

Bora tu uamue; mimi nafocus soko la wadada, imba mambo yao mwanzo mwisho. Au mimi na masela, fanya kazi upate masela wa kutosha.
 
Write your reply...
G nako ni mtu wa kufany chorus
yaani mtu kama yeye kutoa ngoma yake kama himself haiwezekani inabidi asimame mtu yeye mpe hata dk tano tu! anachinja!
ni kama ilivyokuwa kwa wale ma chalii wa yamoto band, yule jamaa mwenye bass(enock bella) nae alikuwa anaua sababu anapewa verse ndogo kwenye chorus ndo anaua!
kundi limevunjika sasa hivi jamaa anatoa ngoma yeye kama solo ioaonekana kelele tu

nawasilisha
 
Huyu simjui, ila namfahu Lord Eyes, Ibra da hustler.

Kuna verse moja Lord Eyes anasema " UKINILETEA BOYA NAMFUA HATA KAMA NINA MAFUA"

Sijawahi kuona Hip hop artist kama huyu jamaa kwa hapa Tz. Namkubali sana. Ingawa naona amerudi kwenye game na anafanya vizuri mfano Wimbo wa WEUSI unaitwa SHOW TIME ameimba vizuri sana na yule jamaa mwembamba mwenye suit ya Maruni.
namwelewa sana huyo kiumbe sana hapo kati alijiharibia kwa yale maskendo na matuio ya ajabu but toka miaka ile yupo poa sana na ile sauti yake ni hatari, akijipanga akapata ingia WEUSI inaweza mbeba zaidi japo si lazima kuwa huko
 
Brother yule jamaa ni Zaidi ya weusi kwa ambao tunajua uwezo wake Enzi hizo za N2N,mfano mzuri ni ule wimbo wa WEWE NDO MCHIZI WANGU pamoja na remix yake.
 
Brother yule jamaa ni Zaidi ya weusi kwa ambao tunajua uwezo wake Enzi hizo za N2N,mfano mzuri ni ule wimbo wa WEWE NDO MCHIZI WANGU pamoja na remix yake.
dahhh mkuuu kweli sina shaka na wewee katika kumjua ila alijiharibia katika kampuni ya weusi, ila jamaa anajua sana sema kuwa peke yake haimpi fursa ya kujitangaza sana si unaona ka G anavyopata mashavu?
 
Tatizo nyota...

Huoni hata msaani wa kuigiza anayeitwa Mboto, yupo kwenye sanaa muda mrefu sana ila ndiyo hivyo...

Cc: mahondaw
 
mama yeyooo sio hitsong?
Sio, ukipita mtaani ukauliza watu nyimbo za GNAKO wanazozifahamu ni wachache sana wataweza kukutajia, hana wimbo maarufu hata mmoja
 
Gnako ni chorus killer kama walivyokua kina Dully sykes na Juma nature, ila akitoa ngoma yake yeye kama yeye huwa hazihit sijui anakwama wapi
Hao magwiji wana hitsong kibao tofauti na GNako
 
Arosto ni ya nani vile?
Hii ngoma ili hit sana ilishika namba moja kwenye radio station nyingi tu.
 
Back
Top Bottom