21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Gnako ni chorus killer kama walivyokua kina Dully sykes na Juma nature, ila akitoa ngoma yake yeye kama yeye huwa hazihit sijui anakwama wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kuna watu mna dharau sana alikugongea nini?Huyu simjui, ila namfahu Lord Eyes, Ibra da hustler.
Kuna verse moja Lord Eyes anasema " UKINILETEA BOYA NAMFUA HATA KAMA NINA MAFUA"
Sijawahi kuona Hip hop artist kama huyu jamaa kwa hapa Tz. Namkubali sana. Ingawa naona amerudi kwenye game na anafanya vizuri mfano Wimbo wa WEUSI unaitwa SHOW TIME ameimba vizuri sana na yule jamaa mwembamba mwenye suit ya Maruni.
unamaana gani kijana?Dah kuna watu mna dharau sana alikugongea nini?
namwelewa sana huyo kiumbe sana hapo kati alijiharibia kwa yale maskendo na matuio ya ajabu but toka miaka ile yupo poa sana na ile sauti yake ni hatari, akijipanga akapata ingia WEUSI inaweza mbeba zaidi japo si lazima kuwa hukoHuyu simjui, ila namfahu Lord Eyes, Ibra da hustler.
Kuna verse moja Lord Eyes anasema " UKINILETEA BOYA NAMFUA HATA KAMA NINA MAFUA"
Sijawahi kuona Hip hop artist kama huyu jamaa kwa hapa Tz. Namkubali sana. Ingawa naona amerudi kwenye game na anafanya vizuri mfano Wimbo wa WEUSI unaitwa SHOW TIME ameimba vizuri sana na yule jamaa mwembamba mwenye suit ya Maruni.
Brother yule jamaa ni Zaidi ya weusi kwa ambao tunajua uwezo wake Enzi hizo za N2N,mfano mzuri ni ule wimbo wa WEWE NDO MCHIZI WANGU pamoja na remix yake.namwelewa sana huyo kiumbe sana hapo kati alijiharibia kwa yale maskendo na matuio ya ajabu but toka miaka ile yupo poa sana na ile sauti yake ni hatari, akijipanga akapata ingia WEUSI inaweza mbeba zaidi japo si lazima kuwa huko
dahhh mkuuu kweli sina shaka na wewee katika kumjua ila alijiharibia katika kampuni ya weusi, ila jamaa anajua sana sema kuwa peke yake haimpi fursa ya kujitangaza sana si unaona ka G anavyopata mashavu?Brother yule jamaa ni Zaidi ya weusi kwa ambao tunajua uwezo wake Enzi hizo za N2N,mfano mzuri ni ule wimbo wa WEWE NDO MCHIZI WANGU pamoja na remix yake.
Ni hit songNi mzuri lakini haukuwa hitsong
Sana tuHau magwiji wana hitsong kibao tofauti na GNako