Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Ratio ina matter mkuu..
Drake ni rapper...anatoa albums za zina robo 3 ya ngoma za kurap, anatoa mixtapes za rap, ana beef za rap, anafanya collabos za rap. Identity yake iko clear, ni r rapper though sometimes anaimbaimba.
G-nako Ni approximately 75% opposite ya hiki nlichoandika.
kwahiyo mkuu unataka kusema G nako hajulikani kama rapa au muimbaji
 
kwahiyo mkuu unataka kusema G nako hajulikani kama rapa au muimbaji
Hakika. Yaani utambulisho wake uko nusu nusu. Tulioanza msikiza zamani enzi za 'right here' tunamwita rapper. Kizazi kipya cha mashabiki, hawa watoto wa early 2000s wanajua jamaa muimbaji...
 
Mnhh..!!!

We jamaa utakuwa mshirikina.
😂😂 sawa mkuu! Ila ni mtu ambae namkubali maan ni shabiki wake tokea akiwa ni presenter wa Dume challenge na ule wimbo alioshirikishwa na Dimpoz aliutendea haki but baada ya pale zote alizotoa za kwake hakuna hitsong!! Ukweli uzungumzwe
 
Hata mimi nimekuwa najiuliza hilo swali ila sipati jibu kamili, G Nako kutoa kolabo moto ila ngoma zake mwenyewe siyo kali. Pengine tukubali tu kwamba yeye ni midfielder.
 
Hizo zote hapo hakuna hitsong hata moja mkuu! Mara mia Maua Sama ana ngoma kama iokote ni hitsong, ila hizo zote hazijawah kufikia kua hitsong
dah,we fala kweli...closer sio hit!!..r&b ya maana kwa sisi tuliobaleghe miaka ya 90,huyo maua sama anaimba miondoko gani zaidi ya fujo tu!!!?
 
dah,we fala kweli...closer sio hit!!..r&b ya maana kwa sisi tuliobaleghe miaka ya 90,huyo maua sama anaimba miondoko gani zaidi ya fujo tu!!!?
Hitsong wala hauitaji kuingia youtube uijue! Hitsong ni utaijua tu hata kama sio msikilizaji wa music.
Ipi kati ya hizo ina sifa ya kuitwa hitsong?
 
"Right Here" ni ngoma kali sana hususani kwetu siye wagumu!
 
Back
Top Bottom