kwahiyo mkuu unataka kusema G nako hajulikani kama rapa au muimbajiRatio ina matter mkuu..
Drake ni rapper...anatoa albums za zina robo 3 ya ngoma za kurap, anatoa mixtapes za rap, ana beef za rap, anafanya collabos za rap. Identity yake iko clear, ni r rapper though sometimes anaimbaimba.
G-nako Ni approximately 75% opposite ya hiki nlichoandika.
Hakika. Yaani utambulisho wake uko nusu nusu. Tulioanza msikiza zamani enzi za 'right here' tunamwita rapper. Kizazi kipya cha mashabiki, hawa watoto wa early 2000s wanajua jamaa muimbaji...kwahiyo mkuu unataka kusema G nako hajulikani kama rapa au muimbaji
😂😂 sawa mkuu! Ila ni mtu ambae namkubali maan ni shabiki wake tokea akiwa ni presenter wa Dume challenge na ule wimbo alioshirikishwa na Dimpoz aliutendea haki but baada ya pale zote alizotoa za kwake hakuna hitsong!! Ukweli uzungumzweMnhh..!!!
We jamaa utakuwa mshirikina.
Ni balaa mkuu..Mama yoyo bonge moja la song
takwimu zako umezifanyika eneo lip?Sio, ukipita mtaani ukauliza watu nyimbo za GNAKO wanazozifahamu ni wachache sana wataweza kukutajia, hana wimbo maarufu hata mmoja
Mama yoyo bonge moja la song
Marekani, pia ameigiza muvi kadhaa za BollywoodGNAKO ni msanii wa nchi gani?
Ndo maan tigo wamekuja na saiz yako yaan mkuu hujakosea ata kidogoIslamabad ndicho kitongoji alichozaliwa.
dah,we fala kweli...closer sio hit!!..r&b ya maana kwa sisi tuliobaleghe miaka ya 90,huyo maua sama anaimba miondoko gani zaidi ya fujo tu!!!?Hizo zote hapo hakuna hitsong hata moja mkuu! Mara mia Maua Sama ana ngoma kama iokote ni hitsong, ila hizo zote hazijawah kufikia kua hitsong
Hata ule "protocal"..cjui kama ndio jina lake lakin.ni mzuri sanaMama yoyo bonge moja la song
Hiyo ya kwanza hapo bab ni ngoma kali balaaHauko serious mkuu.
No body but me.
Come over
Closer
N.k
Hitsong wala hauitaji kuingia youtube uijue! Hitsong ni utaijua tu hata kama sio msikilizaji wa music.dah,we fala kweli...closer sio hit!!..r&b ya maana kwa sisi tuliobaleghe miaka ya 90,huyo maua sama anaimba miondoko gani zaidi ya fujo tu!!!?
macho yako yana vidonda au hujui kusomaHitsong wala hauitaji kuingia youtube uijue! Hitsong ni utaijua tu hata kama sio msikilizaji wa music.
Ipi kati ya hizo ina sifa ya kuitwa hitsong?
Sawa kulingana na matakwa yako!macho yako yana vidonda au hujui kusoma
we endelea kushawishika na maua samaSawa kulingana na matakwa yako!
Ila kwa mimi bado hajanishawishi ijapokua nilikua nategemea makubwa toka kwake ila ameshindwa