Kwanini G-NAKO hajawahi kutoa HITSONG?

Yupo weusi mbona, hukumsikia kwenye wapoloo na hizi ngoma mbili mpya?
weusi mkuu inawatu wanne tu, akifanyakazi labda kushirikishwa, pia kumbuka pale alifukuzwa kutokana na tabia ambazo kampuni ya weusi waliona zinawachafukia
 
Ila msanii ambae namuona kama anababisha tu kwenye game la music kwa mimi nnavyoona ni Vanesa Mdee, hajawah toa hitsong hata moja
Mkuu tupo pamoja kabisa, Vanesa Mdee sjui anaimba nin, Maua sama ni mashine sema bas tu anakosa mkono mrefu na sio mpenz wa kuuza ngada
 
Joh Makini ft G Nako & Lady Jay dee - Kilimanjaro mountain


Hii verse ya G nako kaflow balaa
 
Huyo jamaa ana promo sana mtandaoni na clouds , ila anachoimba hakijulikani, in short anabebeshwa sifa ambazo hana, Gnako hana hitsong yoyte....
 
Originally alitoa baba ako?
 
Hitsong wala hauitaji kuingia youtube uijue! Hitsong ni utaijua tu hata kama sio msikilizaji wa music.
Ipi kati ya hizo ina sifa ya kuitwa hitsong?
Maua sama ana hit nyingi, mahaba Niue, sisikii,
Unajua kuna kutoa hit na kutoa national anthem,
Mfano national anthem ni kama Kwangaru,iokote, number one diamond, Salome diamond, nikusaidiaje, utanipenda,alikufa kwa ngoma, starehe, mikasi, hizi ni national anthem
Hit ni kama moyo machine, aiyola, natafuta kiki, gere,kivuruge, etc
Halaf kuna za kawaida kabisa kama za Vanessa mdee,
 
Ila msanii ambae namuona kama anababisha tu kwenye game la music kwa mimi nnavyoona ni Vanesa Mdee, hajawah toa hitsong hata moja
Umeshawahi kusikilizs Me & You - Vanessa Mdee ns Ommy Dimpoz? Na kula ule wimbo aliimba na Barnaba ulitokaga 2015 sikumbuki jina Vanessa hakika ameshawahi toa hit songs kadhaa
 
Umeshawahi kusikilizs Me & You - Vanessa Mdee ns Ommy Dimpoz? Na kula ule wimbo aliimba na Barnaba ulitokaga 2015 sikumbuki jina Vanessa hakika ameshawahi toa hit songs kadhaa
tatizo ni mapenzi ya mtu,na inawezekana yeye si mpenzi wa aina ya mziki wa vanesa so hawezi ona ka ni mzuri,check ka
no body
kisela
but ni mapenzi tuu wakuu
 
Vanesa mdee hana hitsong yoyte, ni promo tu na connection,



Mfano wa hitsong kwa tz
1.Zali la Mentali, pr jay
2.Starehe ,Ferooz
3.Bado nipo nipo, Mwana Fa
4.Mziki, Darasa
5.Natamba, Aslay
6.Kwangwaruu, Harmonize
7.Kamatia chini, Navy kenzo
Na zingine za mfanano huo, yaani wimbo unakuwa maskioni mwa watu hata kwa mtu ambaye sio mpenzi wa mziki, Diamond na Ali kiba nyimbo zao nyingi ni hit song hasa Diamond....

Vanesa hana hitsong hata moja
 
Gnako ni chorus killer kama walivyokua kina Dully sykes na Juma nature, ila akitoa ngoma yake yeye kama yeye huwa hazihit sijui anakwama wapi
Mifano uliyotoa haifanani, dully na necha wana hit songs za kutosha, labda q j ndio alikuwa mtaalam wa korasi bila kuwa na nyimbo kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…