Kwanini gari za tesla ukifika makaburini zinaona kuna watu wakati hakuna watu?

Kwanini gari za tesla ukifika makaburini zinaona kuna watu wakati hakuna watu?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa wanapita,tambua mfumo wa gari za tesla una sensa kali.

Mfumo wa tesla unaweza kuona magari na ramani kwa ujumla ili kusaidia gari inapotaka kujiendesha yenyewe ukitaka.

Mfano
eerie-moment-te-1125418-scaled.jpg
 
View attachment 3013606
Sijaisikia hiyo habari.
Lakini Tesla alikuwa moto wakuotea mbali.
Ile so- called Philadelphia experiment ambapo meli ilitoweka kutoka kwenye bandari moja ikatokea pengine,ilikuwa kazi ya Tesla. Ila Tesla aliwekwa pembeni kwa sababu alisema utafiti haujakamilika,it is too dangerous.
Wakamwambia kama kuna hatari tutaendelea na experiment lakini tutatafuta "volunteer" sailors.
Unajua matatizo ya jeshi: "We want volu teers. You and you and you,you are going to be volunteers"
 
Yanaona makaburini tu au ni hitilafu kwenye maeneo yote na makaburi umeweka kunogesha maana unatujua.
 
Back
Top Bottom