Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
nime kwambia ninayoWewe iyo gari unayo
umenikumbusha, Chumbageni hapo Tanga kuna mwana anaitwa Ibilisi, na ndo jina lake halisi na yuko happy tu kwa hilo jina!!msalimie shetani
ILA MIKOPO YA MAMA NDIO UNAIONAWala wengine hatujawahi kuziona, bado tunasubiri dunia itufikie, ikipenda! 😄
SIO ISTNiko makaburini hapa na tesla, sjaona watu hao
kuna wazazi wanatoa majinq ya ajabu sana mtu anajiita sheta kumbe kirefu ni shetani aloooohumenikumbusha, Chumbageni hapo Tanga kuna mwana anaitwa Ibilisi, na ndo jina lake halisina yuko happy tu kwa hilo jina!!
Sijaisikia hiyo habari.Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa wanapita,tambua mfumo wa gari za tesla una sensa kali.
Mfumo wa tesla unaweza kuona magari na ramani kwa ujumla ili kusaidia gari inapotaka kujiendesha yenyewe ukitaka.
Mfano
View attachment 3013606
Swali la msingi sanaWewe iyo gari unayo