Kwanini gari za tesla ukifika makaburini zinaona kuna watu wakati hakuna watu?

Philadelphia experiment ilikua around 1940s, Tesla ilikuwepo?
 
Mimi niliweka sensa kwenye mlango mkubwa wa kuingilia ndani, bwana wee saa nyingine ulikuwa unajifungua ata kama hakuna mtu. Kuna siku mtoto wa dada angu ana miaka miwili akasema kuna watu wawili wameingia ndani halafu wakati huo mlango umejifungua na sisi hatuoni mtu halafu dogo kakomalia kuna watu wanawake wameingia wameenda moja kwa moja chumbani hahahah siku ya pili nikamuita fundi wakaja kuitoa sensa. Chezea viumbe visivyoonekana wewe!
 
Ultrasonic sensor zinatumia Infrared radiation ku sense warm object. Mwili uliokufa ni baridi.

Kama hiyo taarifa ina asilimia 100 ya ukweli basi tujiandae kustaajabu.
 
Tesla alikuwa mtu na nusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…