ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ndio maana nimesema kinacho endelea gaza sio battle bali ni upuuzi na wendawazimu.Sasa kwanini jeshi kubwa duniani linapigana na unauita uozo na wahuni na katika siku ya 30 haijatoboa.
Badala yake inaua watoto kwa maelfu na kuwatia huruma walimwengu
Kinacho endelea gaza ni mauaji ya makusudi kabisa kama yaliyo fanywa na Hitra dhidi ya wayahudi au mauaji ya kimbali nchini Rwanda.