Kiranjajunior
Member
- Oct 10, 2023
- 96
- 152
Hivi mbona huwa mnawaongeleaga HAMAS kama watu wasio na uwezo wowote kivita?
Watu wenye uwezo wa kurusha roketi zaidi ya 5'000 kwa sekunde kadhaa, halafu wana uwezo wa kuchimba mahandaki makubwa mpaka yanatokezea Israel?