Kwanini Gaza ni zaidi kuliko Mariupol na Bakhmut

Sasa kwanini jeshi kubwa duniani linapigana na unauita uozo na wahuni na katika siku ya 30 haijatoboa.
Badala yake inaua watoto kwa maelfu na kuwatia huruma walimwengu
Ndio maana nimesema kinacho endelea gaza sio battle bali ni upuuzi na wendawazimu.

Kinacho endelea gaza ni mauaji ya makusudi kabisa kama yaliyo fanywa na Hitra dhidi ya wayahudi au mauaji ya kimbali nchini Rwanda.
 
Ww **** kama huna la maana la kuandika usiwe una shobokea comment zangu.
Kama kundu lako linakuwasha sana chukua kijiga cha moto jichomeke ili muwasho ukuishie pumbavu.
Taratibu ustaadh, matusi ya nini!?
Vilevile mlivyosherehekea tarehe 7 ndo mnapaswa kusherehekea now.
 
Taratibu ustaadh, matusi ya nini!?
Vilevile mlivyosherehekea tarehe 7 ndo mnapaswa kusherehekea now.
Usiniletee nyege mm sina muda na kundu lako kwanza linanuka.
 
Poleni sana,bado hamjasema
 
Vifo vimefika 9k mwaka huu gaza itakua parking ya magari.
 
Sasa kwanini jeshi kubwa duniani linapigana na unauita uozo na wahuni na katika siku ya 30 haijatoboa.
Badala yake inaua watoto kwa maelfu na kuwatia huruma walimwengu

Hao watoto na wanawake ndio human shield ya magaidi wa hamas,raia wema wote waliahaondoka gaza mana walijulishwa,waliobaki hapo ni magaidi na magaidi lazima yauwawe.
 
Hamas wana silaha hafifu , umewai kuwa mshika funguo wa maghala yao ya silaha?
 
Sasa kwanini jeshi kubwa duniani linapigana na unauita uozo na wahuni na katika siku ya 30 haijatoboa.
Badala yake inaua watoto kwa maelfu na kuwatia huruma walimwengu
Kapime akili , Hamas wenye uwezo wa kushambulia na kuua watu ndan ya israel unataka wafananisha na Tpdf?
 
iron dome sio kama pazia bali inafanya kaz kwa kuendeshwa na watu
 
Hamas wana silaha hafifu , umewai kuwa mshika funguo wa maghala yao ya silaha?
Kuna silaha zenye nguvu kuliko makombora yanayorushwa kutoka kwenye ndege za kisasa za F16 yenye uwezo wa kulitifua gorofa kama karatasi.Na hiyo teknolojia ya kutengeneza vifaa hivyo si unajua wavaa kobazi bado hawana.
Itakuwa huna macho au hujaona ukali wa silaha za IDF
 
Kapime akili , Hamas wenye uwezo wa kushambulia na kuua watu ndan ya israel unataka wafananisha na Tpdf?
Nguvu za TPDF huwezi kufananisha na za Hamas.
TPDF wakisema Chadema watulie wanatulia.Lakini Hamas hata waliposema IDF wasiingie na wameingia.
Tusubiri tu tuone nguvu za IDF iwapo ni za kuendelea au vipi?
 
Hiyo iron dom unaijua wewe? Ina kazi gani? Imetoka wapi? Yakuhusu nini?
 
Propaganda
 
Attachments

  • 20231106_113046.jpg
    111.9 KB · Views: 3
  • 20231106_113016.jpg
    23.9 KB · Views: 2
  • 20231106_113003.jpg
    209.7 KB · Views: 2
  • 20231106_112946.jpg
    83.7 KB · Views: 2
Kila uovu wakifanya ni allah akbar huyu mungu wao wa ajabu sana.Kule ukraine nako ni allah akbar wakidai eti ukraine wangeukubali uvamizi wa urusi kuliko kumwaga damu.Sasa hivi mkia wao umeguswa wanawake na watoto wanatajwa.Allah yuko selective sana!
 
Hiyo iron dom unaijua wewe? Ina kazi gani? Imetoka wapi? Yakuhusu nini?
Unataka ilete common sense kwenye mambo ya fact bila Hilo zaga Israel kungekua magofu kitambo au hiki kichapo wanachopokea palestina saivi kingekua kinatokea kila baada ya rocket rocket kutua ,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamekutana kwa thread wanajibizana na kutiana moyo maana ki uhalisia wameshajikatia tamaa na kinachoendelea Gaza.Mtu anawaita IDF mashoga na waoga wakati yeye panya road tu wakiingia mtaani kwake anakimbilia uvunguni mwa kitanda kujificha kwa uwoga.IDF na iheshimiwe sana acha iwasakanye hao Magaidi wa Hamas na iwapukutishe kama nzige wafilie mbali huko.
 
Kapime akili , Hamas wenye uwezo wa kushambulia na kuua watu ndan ya israel unataka wafananisha na Tpdf?
Haha waliposhambulia walisema Israel jeshi dhaifu sasa waache jeshi dhaifu wafanye udhaifu wao.
 
Propaganda
Ndiyo maana wanabatuliwa na mijaketi yao ya Press.Nilicheka kuna mmoja alikuwa anareport kifo cha reporter mwenzao.Alionekana kuwa na jazba akiwa Live anareport akavua ile bullet proof na kofia ngumu akavitupa kuwa havina maana bora areport akiwa hivyo hata akifa ni sawa tu.Akiwa anaendele kureport mara kitu kikashushwa na IDF umbali kadhaa kutoka alipokuwa,tuliisha kuona vumbi tu na akatoweka hewani,baada ya muda nadhani Aljazeera wakamrudia tena alikuwa anareport huku anahema kama kakimbizwa na jaketi ya press kaivaa tena na kofia ngumu huku akiwa kajaa vumbi la kutosha.
 
Unaleta udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…