Kwanini Gaza ni zaidi kuliko Mariupol na Bakhmut

Hivi mbona huwa mnawaongeleaga HAMAS kama watu wasio na uwezo wowote kivita?

Watu wenye uwezo wa kurusha roketi zaidi ya 5'000 kwa sekunde kadhaa, halafu wana uwezo wa kuchimba mahandaki makubwa mpaka yanatokezea Israel?
 
Sawa kafiri
 
Hahahahaaaa vijana 10 walienda na pikipiki kwenda kuzima komputa za jeshi la israel. stori zingine unacheka tu na kuziacha zipite
 
Hao watoto na wanawake ndio human shield ya magaidi wa hamas,raia wema wote waliahaondoka gaza mana walijulishwa,waliobaki hapo ni magaidi na magaidi lazima yauwawe.
Mnasikitisha mnavyosema hivyo.
Toka hai raia wauliwe hakuna silaha Wala askari wa Hamas aliepatikana.
Israel ni taifa linaloua raia Ili kuleta hofu kwa wapinzani.
Hata Lebanon Leo wamelipua gari la wanafamilia wanne wakawaua papi hapo ukijiuliza wamelipua wanafamilia wasio na silaha kisa nn jibu hupati.
Hizbollah akajibu kwa kupiga military post 4 za IDF na kuua mtu mmoja askari 3 .
Israel vita hawezi ila huua raia Ili kuleta hofu kwa anaopigana nao.
 
Ni aibu jeshi kubwa kushindwa katika vita mpaka linapigana na matenki ya maji na solar panel
unajijua vita ya siku sita ? Hilo jeshi unalolibeza lilitandika nchi zote za kiarabu Misri, Jordan, Syria, Yemen, Iran ndani ya siku sita tu na kuwapokonya maeneo kama Golan, Sinai nk.

Sida ya Maarabu na mafuasi yao maislamu ni majinga majinga tu, mabishi bishi, maswahili na mapuuzi. Kama IDF (jeshi la Israel sio hodari, pmlmamazenu liliwezaje kuwafi*ra majeshi ya nchi zote za kiarabu kwa siku sita maarabu yakaomba vita isitishwe na kupokonywa maeneo yao ?! Stupid, idiotic, lazy ass terrorists.
 
yani Hamas wakishambulia mnashangilia wakitandikwa qmlamamazenu mnalalama
 
Ni aibu jeshi kubwa kushindwa katika vita mpaka linapigana na matenki ya maji na solar panel
unajijua vita ya siku sita ? Hilo jeshi unalolibeza lilitandika nchi zote za kiarabu Misri, Jordan, Syria, Yemen, Iran ndani ya siku sita tu na kuwapokonya maeneo kama Golan, Sinai nk.

Sida ya Maarabu na mafuasi yao maislamu ni majinga majinga tu, mabishi bishi, maswahili na mapuuzi. Kama IDF (jeshi la Israel sio hodari, pmlmamazenu liliwezaje kuwafi*ra majeshi ya nchi zote za kiarabu kwa siku sita maarabu yakaomba vita isitishwe na kupokonywa maeneo yao ?! Stupid, idiotic, lazy ass terrorists.
 
Sasa kwanini jeshi kubwa duniani linapigana na unauita uozo na wahuni na katika siku ya 30 haijatoboa.
Badala yake inaua watoto kwa maelfu na kuwatia huruma walimwengu

Nakazia
 
Wanaume wa Ukraine hawatumii raia kama.kinga
Alafu hawajifichi kwenye mahandaki Wala hospitalini, makanisani nk wao wako Frontline tena Wana uniform na Kambi za kijeshi na Urusi inazijua ila pamoja na hayo yote Urusi bado anapiga makombora kwenye makazi ya raia na kuwaacha wanajeshi wa Ukraine huko fronts.
 
Sasa kwanini jeshi kubwa duniani linapigana na unauita uozo na wahuni na katika siku ya 30 haijatoboa.
Badala yake inaua watoto kwa maelfu na kuwatia huruma walimwengu
Hao unaowaita wahuni unadhani wako wenyewe kwenye hii vita, Ukraine ingekuwa imesimama yenyewe bila misaada (actually ni madeni ya kufa mtu) Putin angeshamaliza kazi within time frame aliyo declare.

Umeshatambua lengo la encirclement na series of bombardments wanayofanya israel kwa sasa, vita ni mbinu na intelijensia huwezi kwenda kwa adui na msafara wa siafu na matamko ya vitisho.

Hao wahuni kama walijenga njia za kuingilia underground kwenye makanisa, misikiti, shule, makazi ya watu, na miundombinu mingine na kukimbilia kujificha kwenye hayo maeneo unategemea nini. Israel hawakuwa wajinga kutoa nafasi ya watu kuondoka hayo maeneo.
 
Kila uovu wakifanya ni allah akbar huyu mungu wao wa ajabu sana.Kule ukraine nako ni allah akbar wakidai eti ukraine wangeukubali uvamizi wa urusi kuliko kumwaga damu.Sasa hivi mkia wao umeguswa wanawake na watoto wanatajwa.Allah yuko selective sana!
Pole sana
 
Ww **** kama huna la maana la kuandika usiwe una shobokea comment zangu.
Kama kundu lako linakuwasha sana chukua kijiga cha moto jichomeke ili muwasho ukuishie pumbavu

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
 
Sasa mpumbavu ni nani kati ya hao waislam na ww unaye sema Israel alipigana na Iran na Yemen?

Hiyo historia ulisomea kawe kwa manabii uchwara?
 
Ww jamaa acha kujitia aibu kama hujui kitu bora ukauliza au ukakaa kimia?
 
Hiyo integensia inayo tumika kutambua mahandaki yaliyoko kwenye makazi ya watu mbona mpaka sasa imeshindwa kutambua walipo mateka?

Acheni uhuni hakuna kitu kinacho weza halalisha huo upuuzi unao fanywa na Israel , Israel sio taifa la kwanza kupambana na hao unao waita magaidi Iraq ilisha pigana na magaidi wa IS wenye nguvu mara 10 ya hamas na hatukuona likifanya upuuzi wa kuuwa watu kwa kisingizio cha magaidi wanajificha kwenye makazi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…