Uchaguzi 2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

Niko na wewe Genta,100 kwa 100,tena mnyama mwenzetu haa haa
Tena Rais Dkt. Magufuli 'anaipenda' Simba Sports Club kuliko vile ambavyo unadhani Mkuu. Na hata 'Mkewe' nae ni 'Mnyama' Mwenzetu vile vile.
 
Nawaonea huruma waalimu walio kufundisha...walipoteza muda kweli
 
Nawaonea huruma waalimu walio kufundisha...walipoteza muda kweli
Mimi nawaonea sana 'Huruma' wale 'Waliokuzaa' kwani wamejisababishia 'Matatizo' na hasa kwa Kutuletea 'Juha' Mwandamizi kama Wewe nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…