Uchaguzi 2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

Wote๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ’ƒ
Usipanick
Sjawahi kupaniki kwenye maisha yangu, na ndo mana nikakwambia hata mkipiga ni haki yenu kikatiba so haitabadilisha chochote .๐Ÿ˜
 
Rudia kusoma ulichoandika hapo [emoji115],,,,, ili nijue kama kweli hauna iq ya sisimizi.
Yaaani uandishi wenyewe shida [emoji53].
Acha kujidhalilisha kaka soma tena alichoandila huy mdada,
Kwani wewe jirani yake ? Hao majirani zake Sio Watanzania ? Hao rafiki zake Sio Watanzania ?

Usisahau kumpigia kula MAGUFULI Okay ??
 
Kumbe wote mna uelewa sawa? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yaani umeshindwa kuona mapungufu hapo kwenye post yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ , ama kweli nazidi kuamini kuwa ukiwa ccm umeshikwa hadi ufahamu.

N.b
Ni kura na siyo kula .
Mwisho kabisa kura ni siri ya mtu .
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 Nchini tutampigia Ndugu Dk. John Magufuli tu.

Wengi wanedhulumiwa haki zao

Sheria ya Kuondoa FAO la ya 2018 inapora haki za wanyonge.

Kwanini wao wabunge walipwe pension zao zote?.

Watu sekta binafsi wamefukuzwa kazi na wengine mikataba kuisha... kwanini wananyimwa fao la kujitoa?

Kikotoo, Sheria ifutwe

Kikwete na Late mkapa walilipa watu wote fao la kujitoa
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 Nchini tutampigia Ndugu Dk. John Magufuli tu.
We wehu!! kwani wakimbizi mnaruhusiwa kupiga kura??
 
Wanufaika nae
 
yes brother john the president ni jasiri sana tena muwazi akiahidi anatenda
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 Nchini tutampigia Ndugu Dk. John Magufuli tu.
Umepotoka kijana, unaachwa na treni ya ukombozi!
 
Pamoja sana! Tano tena kwa mzoefu JPM 2020, kwa ustawi na maendeleo ya Nchi!
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 Nchini tutampigia Ndugu Dk. John Magufuli tu.
Subiri vijana wenzako wako bavicha waje kukuporomeshea matusi ya nguoni.

Hata mimi Magufuli anayo kura yangu kibindini.
 
Hapo ilikuwa lini?

Je tangu wakati huo hadi leo unazani bado relevance ya kile alichokisema kwa kuzingatia muktadha mzima ipo? Au la?

Mabadiliko yapo ila ni hasi

Tangu wakati ule ufipa hapajabadilika,
wanachama hawaongezeki wanapungua,
Mafisadipapa wamepewa nafasi za kugombea urais,
Sasaivi wanajaribu kuweka madini rehani ulaya na amerika wapate pesa
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 Nchini tutampigia Ndugu Dk. John Magufuli tu.
Niko na wewe Genta,100 kwa 100,tena mnyama mwenzetu haa haa
 
Hawa wote 'hawajauliwa' na Rais Dkt. Magufuli wala Serikali yake na hata 'Kudhuriwa' kwa Tundu Lissu Yeye, CCM na Serikali havihusiki kabisa pia.
Mkuu mbona unajivua nguo.....!!?

Ama kweli njaa mbaya, nahis unafikiri hakuna maisha nje ya Chama.....
Pole Sana.
 
Back
Top Bottom