greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Ebu thibitisha kuwa ni serikali ya ccm na magufuli ndio wahusikaBen Saanane, Rwabaje na jaribio la mauaji ya Tundu Antiphas Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu thibitisha kuwa ni serikali ya ccm na magufuli ndio wahusikaBen Saanane, Rwabaje na jaribio la mauaji ya Tundu Antiphas Lissu
Wakikuthibitishia hili tena kwa 'Ushahidi' ulio 'Kuntu' kabisa Mkuu, Kesho Asubuhi MP wa Lugalo wakiwa 'Parade' nitajisaidia 'Kojo' pale Main Gate.Ebu thibitisha kuwa ni serikali ya ccm na magufuli ndio wahusika
Sisi tuko na Ponda... Jina langu la Kiislamu ni Dulla.1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu
Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 nchini tutampigia Ndugu Dkt. John Magufuli tu.
Yaani wewe dada yako na mumewe ndio imeshakuwa wa Tanzania wote? [emoji16][emoji23]Watanzania wengi kwa wingi wetu tunaenda kumkataa kwa nguvu zote huyo mgombea wako hapo Oktoba 28.
Sababu kuu ni kuwa hafai kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa sababu ni mtu mwenye roho mbaya, katili , muuaji na fedhuli kupindukia. Ameua sana watu, ametesa sana watu, kuteka watu, kuwabambikia kesi na kupiga sana watu risasi.
Sio ivyo tu, ameharibu uchumi na kusababisha bei ya bidhaa adhimu sukari kupanda maradufu, huku akiharibu biashara za mazao kama Tumbaku, Kahawa, Korosho na Mbaazi. Ameharibu biashara kusababisha biashara nyingi kufungwa na mwisho amewatesa na kuwanyanyasa sana wafanyakazi
Huwa 'nayaogopa' sana Majina ya 'Dulla' Mkuu kwani wengi Wao ninaowajua Mimi kama siyo 'Mashoga' Magomeni Mapipa basi ni 'Vibaka' sana tu.Sisi tuko na Ponda... Jina langu la Kiislamu ni Dulla.
Kura zote kwa jemadari rais John Pombe Joseph Magufuli GENTAMYCINE 😍😍😍1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu
Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 nchini tutampigia Ndugu Dkt. John Magufuli tu.
Kamwe siwezi Kumpa 'Kura' yangu 'Mgombea' ambaye Yeye muda wote tu yuko 'busy' kututeta na kutuchongea kwa 'Wazungu' ili Nchi iharibikiwe.Kura zote kwa jemadari rais John Pombe Joseph Magufuli GENTAMYCINE 😍😍😍
Atoswe tu muongo huyu!
Ben Saanane, Rwabaje na jaribio la mauaji ya Tundu Antiphas Lissu
Na wewe umeamua utapiga kura ? Msimamo wako si ilikuwa bila Tume huru hautapiga kura ? Au nimekufananishaHizo sababu 7 ni chache sana mtani, weka hata mia lakini hatumpi. Tutampa mtenda haki, imeisha hiyo.
Na wewe umeamua utapiga kura ? Msimamo wako si ilikuwa bila Tume huru hautapiga kura ? Au nimekufananisha
JPM habari ya duniaKuvunja Nyumba zilizojengwa 'Kiholela' Kimara ili Kupisha Ujenzi wa barabara ambayo itarahisisha Usafiri wa Mizigo, Watu na Uchumi Kukua sana.
Usiupake rangi upepo Genta!! Hutofanikiwa kamweHawa wote 'hawajauliwa' na Rais Dkt. Magufuli wala Serikali yake na hata 'Kudhuriwa' kwa Tundu Lissu Yeye, CCM na Serikali havihusiki kabisa pia.
Dunia ya Chato au???JPM habari ya dunia