Kwanini gesti?

hapa unakusudia kusema kwamba walalahoi ambao tunamiliki hela ya gesti haturuhusiwi kutoka na warembo wa matawi ya juu?. khaaaaaaa mbagala imekula kwetu mwaka huu.
 
Sina shida na kusaidiana gharama tulale sehemu nzuri,nina shida na kupelekwa sehemu aliyochagua mwanaume amabyo si salama......kipato cha kushindwa ku-afford sehemu nzuri ya kulala.........:bump:
 
Hii ni kawaida tu! Mnakuwa wageni wa muda mnaenda nyumba ya wageni hakuna baya
 
Nilisema hap juu kwamba MWANAUME ANAPO KUPELEKA GESTI sio siku zote ni kigezo cha kukudharau.
Tatizo hawa dada zetu wanakuaga na matakwa yao ambayo usipoyafanya wanaona kama ni dharau
Wadada mnapaswa kuangalia VITENDO HALISI VYA KUASHIRIA UPENDO kutoka kwa mwanaume, na gesti kamwe haiwezi kupima mapenzi ya dhati
 
For Real?

Duh wacha nisepe.

kamanda mimi leo nakugongea senks wewe na gaijin tu. yaani kwa mapwenti haya leo michelle na lizzy lazima waombe razi
Kumbe sie hatuongei point ehh? Naripoti abuz...
 
mwalim mimi nilidhani vyama, makabila na imani tu ndio vina matabaka lakini kumbe mpaka mapenzi bana! anyway wale wa vichakani hata hapo gesti house wanakuwa wanajiskia kama wapo copa cabana vile.
 
Kaka nilishakwambia zamani kuwa tatizo ni mshiko. Ukimpeleka five start hotel wala hatalalama abadan asilani

ciao

Atleast I gave it a try and a fight..., no one goes into battle akitegemea kushindwa, so instead ya kucheza magarasha yangu kwanza, I will try to have an ACE on my Sleeve, do everything in my power to get kipenzi cha maisha yangu.
Orait then!Ukiendelea hivyo ipo siku utashinda hata kwa bahati tu!
 
Kama zipi?

Mimi nilitoa mfano mmoja wapo hapo juu kwamba, mwanaume anaweza kufanya hivyo kwa nia ya kukuangalia au kukupima kama utachukulia kukupeleka kwake gesti ndio kigezo cha mapenzi ya kweli au la???
Vile vile anaweza akafanya hivyo na akakueleza labda mfano, alipopangisha anatatizo na mwenye nyumba kiasi cha kwamba hatafurahia kuwepo nae mahali alipopanga, na akakueleza hivyo, kuliko kama angefuta kabisa hiyo chance ya kukutana na wewe
 
hapa unakusudia kusema kwamba walalahoi ambao tunamiliki hela ya gesti haturuhusiwi kutoka na warembo wa matawi ya juu?. khaaaaaaa mbagala imekula kwetu mwaka huu.

tafuta anayekubaliana na hiyo guest,wapo wa matawi watakaokubali pia......:coffee:
 
Kama zipi?
Kutokuwa na Comfortable, better place ya kukupeleka.
Kuhofia mshituko wa wewe kupaona kwangu unaweza ukaniacha.

Now tusiangalie guarantee ya wewe kunikubali hata ukijua yote hayo sababu jibu ni Unknown, lakini mimi kwa kuhofia wewe kuniacha is that not love ? kumbuka in my mind am sure ukinielewa vizuri my positives hizi negatives utazisahau
 
mwalim mimi nilidhani vyama, makabila na imani tu ndio vina matabaka lakini kumbe mpaka mapenzi bana! anyway wale wa vichakani hata hapo gesti house wanakuwa wanajiskia kama wapo copa cabana vile.

ndio umejua sasa...... na ndo ukweli
 
Kaka nilishakwambia zamani kuwa tatizo ni mshiko. Ukimpeleka five start hotel wala hatalalama abadan asilani

ciao

Kaka, hawa wadada zetu ukiwatafsiri kwa namna hiyo ndo wanakuja juu balaa, na wengine wanakuwa mbogo mpaka kudai hata wao wana uwezo wa kuzipata hizo pesa. Kwa hiyo tunawapa ukweli halisi na kuwasisitizia hivyo hata kama hawataki kumeza, tutawamezesha tu
 
Vile vile anaweza akafanya hivyo na akakueleza labda mfano, alipopangisha anatatizo na mwenye nyumba kiasi cha kwamba hatafurahia kuwepo nae mahali alipopanga, na akakueleza hivyo, kuliko kama angefuta kabisa hiyo chance ya kukutana na wewe
Huwezi kumpima mtu kila siku kawa kipimo kile kile!Ila hapo kwenye kuelezana umenena...kujua sababu kunaondoa maswali!
 
Apart from mental and physical abuse..., materialistic hivi kuna binadamu ambaye hawezi kuhimili maisha yoyote?

mimi ni kati ya binadamu wasioweza kuhimili maisha yeyote.....kuna maisha i will do anything kuliko kuyaishi.........
 
Orait then!Ukiendelea hivyo ipo siku utashinda hata kwa bahati tu!
so long as you will end up between my arms with my ring between your fingers and deep love inside your heart, who cares about the means ?....
Its just a means to an end.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…