Nazungumzia usalama generally....natoa mfano: kuna guest house nyingine hazina maji na si safi....so na ile michubuko yako after sex unaenda kuoga kwenye ndoo isiyo safi na pengine maji yasiyo safi.......pili,kuna guest house tumesikia wamevamiwa au zile guest bubu...ziko kama nyumbani kwa mtu hakuna ulinzi ni watu tu waingia na kutoka! kuna guest house kama zile wanakupa muda wa kulala yaani unalipia kwa masaa. na 24/7 wako busy watu wanaingia unakuta kuna receptionist,kijana wa mlangoni na mfanya usafi wa kurashia...nothing else..hivi hata comfortablity unatoa wapi na huyo unayedai mnapendana?kupendwa na kufanya tendo lazima kuwe katika mazingira salama...