Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Michelle ni kwamba huwezi au hutaki?Kama hakidhuru kwanini kisiwezekane?
siwezi na sitakubali....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michelle ni kwamba huwezi au hutaki?Kama hakidhuru kwanini kisiwezekane?
wewe kila kitu utalipiwa....nimekuambia tafuta mshiko unaleta tiba zako zisizotibu.......em niache mimi,tena usiseme tunajuana Kloro...please Kloro,heshima yangu itashuka.....l.o.l
najuta kuwa na laptop, najuta kujiunga JF . dah! acha nikaapolojaiz kwa preta.wewe kila kitu utalipiwa....nimekuambia tafuta mshiko unaleta tiba zako zisizotibu.......em niache mimi,tena usiseme tunajuana Kloro...please Kloro,heshima yangu itashuka.....l.o.l
siwezi na sitakubali....
Hakuna mtu ambae hawezi au anaweza bana.., people adapt..., usiniambie leo hapa pakizuka vita ikawa kama Afaghanistan watu hawataanza kula chura kwa ubuyu... lets get real people....
najuta kuwa na laptop, najuta kujiunga JF . dah! acha nikaapolojaiz kwa preta.
. . na utaona bora ufe au urudi kwenu, au sio??
najuta kuwa na laptop, najuta kujiunga JF . dah! acha nikaapolojaiz kwa preta.
nina mkopo wa benki. think twice michelleutakuwa umenisaidia....your presence here is killing me.....go go go!!!
dah! here comes my rescuer. tusemeni aaamen!hahahaha!old is gold,,lol!usijali lkn ntaongea na Preta
nina mkopo wa benki. think twice michelle
dah! here comes my rescuer. tusemeni aaamen!
Its my decision to choose to adapt or not....hatuongelei vita hapa....so get real also....there are things i will not do just because i love someone......am not talking of wars
Nobody is talking about war or peace here... two words choice, and ability /capability thats what am talking about.. go back to my post I said and i qoute "Hakuna mtu ambaye hawezi au anaweza..." sikusema hakuna mtu ambaye anaweza kuchagua au kutokuchagua..,
things change and situations zinabadilika leo upo juu kesho chini adapting its not a choice sometimes its a must unless you dont want to survive.
dada zetu wanataka ikifika wakati mwanaume anataka kufanya nae mapenzi basi inapaswa apajue anapokaa mwanaume
naona hii ina-sound kama mbinu ya kumshika mwanaume asikimbie na badala ya kumdharau mwanamke . . . lol
halaf yule lizzy kaanzisha sredi la kukandia faifu star hotel za sinza halaf kaingia mitini. simgongei senks kwa siku tatu mfululizo
ile kuandika nina loan tu nimepokea PM za wadada kama 6 hivi (majina kapuni) ndani ya dakika 5. balaa walahi.Vipi kuhusu LOAN,naona umenigongea senksi lakini jibu hamna....hiyo rohochungu ka jina lako itakunyima gals matawi.....utaokota matawi yaliyodondoka tu.....lol