Kwanini gesti?

Sababu moja kati ya nyingi ni ... kuwa nyumba za siku hizi hazina usiri (privacy)...kuzungusha tu utasikia chumba cha jirani wanaanza kunong'ona... na wadada wa siku hizi mbwembwe nyingi kelele mtindo mmoja basi matatizo hasa kwetu sisi tunaokaa Mbagala.... Kama umeishaangalia video ya Mbagala( Diamond) binti anapotoka ndani ya chumba cha Diamond pale wadada walio nje walivyofanya utakuwa na jibu kwanini watu wanaenda guest. Pia hali ya hewa ya Dar, maana guest nyingi bongo siku hizi full kiyoyozi na joto hili
 
Namchukia mtu anayeniambia twende guest wakati anakwake na yuko single.
Namtosa hapohapo!
 
Sasa kwanini wasisubiri mpaka wawaelewe ili wapelekane nyumbani?Yani hapo inaonyesha kitanda chake kina thamani zaidi ya mwili wake!

A smart bachelor never take women home, mpaka atapothibitisha kwamba ana thamani ya kupelekwa nyumbani!
 
Namchukia mtu anayeniambia twende guest wakati anakwake na yuko single.
Namtosa hapohapo!

Gesti FULL AC dada, maji ya uhakika na standby generator. Kwa kipato cha Wabongo wengi ni vigumu kukuta hizo facilities mtu anazo nyumbani. Kwa hiyo mnaanzia gesti kwanza, halafu baadae sasas mkishakubaliana kwamba mahusioano yenu yanaelekea kwenye shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe basi mnabanana Uswahilini kama kawaida.
 
mazngra yanasabbaisha mpelekane gest
km ni kaz ya nje sasa atakupelekaje kwake?
km we demu una kwako pia lakin jamaa ni kaz za nje utamwalikaje m doo geto kwako
km ni part time utawapeka wangap hm?
 
Namchukia mtu anayeniambia twende guest wakati anakwake na yuko single.
Namtosa hapohapo!

ahh km amjakubaliana kulast longer bora gest...KTANDAN KWAKE APANA CZ NAFIKIRIA WANGAP WAMEKILALIA?
MASHUKA YALE YALE?KTANDA KILE KILE YAAN INAKUWA KM KITANDA CHA OPERESHEN CHA HOSPTAL..MADEMU KIBAO WANALALA APO WANACHANJWA NA WEWE PIA APO APO?

AHH Apana
bora gest km ni ivo au km ukimtaka awe wako kiukweli na amkuhakikishia ivo bas pgana nae akikwambia mkachanjane gest
 
Mkipelekwa makwetu mapema huwa mnakuja kutusumbua baadaye.........hamchelewi kuanza kuhamia kidogokidogo...
 
Hehe nyie bado watoto!Pesa ya guest hamna..nyumba ya kuwapeleka hamna na hormone zinawazidi nguvu mpaka mnakimbilia vichakani!

Kwenye gari je?....
 
Sasa kwanini wasisubiri mpaka wawaelewe ili wapelekane nyumbani?Yani hapo inaonyesha kitanda chake kina thamani zaidi ya mwili wake!

apana
anakuwa atak kubadirisha wanawake ktandan mwake
so liheso anafanyia ukooo na akikukubali anakupeleka home kwake
sasa km daily anabadirisha wasichana itakuwaje daily afue mashuka?ndo mana anafanyia ukoo ili alinde heshma pia kwa wanaomzunguka sio leo uyu kesho umemwingiza uyu
 
A smart bachelor never take women home, mpaka atapothibitisha kwamba ana thamani ya kupelekwa nyumbani!
Kwahiyo kumbe huo ndo wa uchunguzi?Afadhali nimejua!
 
hivi LD wewe unaweza kumkataa unaempenda kwa sababu ya kukupeleka gesti za uswahilini? , jibu lako lizingatie na mapigo yangu ya moyo please.

senks in advance

We Clorokwini nasikiaga kuna kunguni na viroboto sijui ni kweli.
Njoo huku!!
 
Jamani mkiona mnapelekwa sana guest tafuteni mageto yenu na nyie muwe mnapeleka hivo viboyfrendi huko....
 
Jamani mkiona mnapelekwa sana guest tafuteni mageto yenu na nyie muwe mnapeleka hivo viboyfrendi huko....

KIngo zinasababisha waende huko@GY
 
Jamani mkiona mnapelekwa sana guest tafuteni mageto yenu na nyie muwe mnapeleka hivo viboyfrendi huko....

ili viache boxer zao sio eeeee aku
 
Acheni uzinzi!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…