Kwanini gesti?

Kwanini gesti?

Huyu ni VOR ambae siku za mwanzo anaanza kukuchukua guest mpaka umjue undani ndo akuchukue home kwake 😀

Na huyo anaeishi kwenye nyumba ya aina hiyo na pesa ya gesti kila siku hana na mimi naishi hivyo hivyo kwahiyo kwangu hakuna unafuu?Since hayo ndo maisha halisi kwa wengi wao hawastahili?
 
VoR mawazo ya labda hunipendi sana yanaweza kunikimbiza bila kujua sivyo...wakati kujua hali yako kunaweza kusinitishe hata kidogo..na hicho sio kipimo kizuri cha kujua nnachotaka kwako kweli?Mi nadhani ndivyo..kama nimekupenda wewe..godora unalolalia naweza kujiweka hata kwa kujiegesha!Alafu choo cha kuchangia kitu gani bwana...siunasimama tu mlangoni kuhakikisha mtu mwingine haingii!
Thats might be true lakini Ulishaona mtu anashilingi yake ya mwisho alafu anaichezea kwenye tundu la choo..., I like to gamble lakini kuna vitu sio vya kucheza kamali navifanya nikiwa 100%.., takuonesha mambo mazuri yote kwa wakati wake. Unajua hata bad news mtu inabidi umuandae na kumwambia polepole, unless anaweza kupata heart attack
 
Vipimo vingine ni vya kijinga??mapenzi hayapimwi hivyo labda na wasio na ujuzi wa kupima akupendaye na asiyekupenda.....:laugh::laugh:
Sometimes you are defined as bn cheap,na mwanamume anayefanya vipimo vya namna hiyo hajakua vizuri:sick:

Mwanamke hawezi na wala hapaswi kumchagulia mwanaume mbinu gani atumie kumfahamu vizuri mpenzi wake wakati mhusika ni mwanamke huyo huyo, sometimes mbinu hizo hizo wanawake wanazoona za kijinga ndizo hasa mwanaume anaweza kugundua hata mengine ambayo hakutegemea kuyajua kwa mbinu hiyo ya kijinga

Mwanaume makini anapaswa ajue hadi hasira za mwanamke wake zilivyo kwa kutumia mbinu hizo za kijinga kijinga, ili ajue ana mwanamke wa aina gani . . . . :coffee:
 
Huyu ni VOR ambae siku za mwanzo anaanza kukuchukua guest mpaka umjue undani ndo akuchukue home kwake 😀

Avumilie tujuane vizuri....manake kama hunijui vizuri uchi wangu wautakia nini??ndo maana wengine wakishapewa hao huwaoni.....if you do not trust me or know me well,why sharing a bed with me in a place where no one knows you and i could even kill you and leave you??
 
Kipimo kizuri ni kumuonyesha mtu maisha yako halisi especially kama sio mazuri sana!

Hupaswi kusema kila kitu chako halisi kwa mpenzi wako ambaye bado upo nae ktk misingi ya kutambuana, huo ni udhaifu mkubwa sana
na utakuwa umejirahisisha sana kwa mwezi wako mapema mnoooo
 
Na hicho choo cha ku-share huko kwa jamaa yako kina salama basi? Mradi we are stuck between a rock and a hard place.

Mimi naona tusikae kwenye high horse tukawapa watu definition ya namna ya kuishi. Tujiwekee wenyewe standards hata zifike mbingu ya saba, lakini tusitake mwengine aishi kwa standards zile.

Who are we to start defining what is shameful and what is lawful anyway?

Good question mwalimu.....personally i do not see myself nikivua chupi bila kujua nikimaliza nitaoga wapi?i have to be comfortable with the place to even go spend time there......sijui wengine,ila guest house nyingine hazina tofauti na hiyo nyumba ya kupanga....nyingine zinajaa,hakuna usafi,twenty four hours watu wanapishana.....which is better,kujihifadhi au kuwa salama??kama uliweza kwenda hapo kwa ajili ya hilo tendo ukijua kuna watu iweje uone shida kwenda kuoga??
 
Mwanamke hawezi na wala hapaswi kumchagulia mwanaume mbinu gani atumie kumfahamu vizuri mpenzi wake wakati mhusika ni mwanamke huyo huyo, sometimes mbinu hizo hizo wanawake wanazoona za kijinga ndizo hasa mwanaume anaweza kugundua hata mengine ambayo hakutegemea kuyajua kwa mbinu hiyo ya kijinga

Mwanaume makini anapaswa ajue hadi hasira za mwanamke wake zilivyo kwa kutumia mbinu hizo za kijinga kijinga, ili ajue ana mwanamke wa aina gani . . . . :coffee:

hapo nyekundu(it applies both sides not only to men),kuna factors nyingine za kunijua si kunipeleka guest zisizo salama....if thats the only way you have to measure someones love for you.....get a life and man up....if someone loves you he will not take you somewhere you do not like just to measure how much you feel for each other......women ought to be themelves,do not go to any point just to prove to your man that you worth to be someone in his life.....
 
Yaani nianze tu kukuambia maisha yangu halisi hivi hivi tu . . . . . tena zama hizi ambazo ukimwambia kitu halisi mwanamke anaweza akaona mwanaume anajipandisha ili ampate kiurahisi
 
Avumilie tujuane vizuri....manake kama hunijui vizuri uchi wangu wautakia nini??ndo maana wengine wakishapewa hao huwaoni.....if you do not trust me or know me well,why sharing a bed with me in a place where no one knows you and i could even kill you and leave you??

Hiii Michelle haitufikishi popote tutakuwa tunakwnda in circles tu. If you wont let him kukuchukua guest hatakuchukua, hakuna mwanamke anaewekewa mtutu wa bunduki kufanya hilo.

Tusilaumu wanaume. Mwanamke huenda kwa khiari yake.
 
Huyu ni VOR ambae siku za mwanzo anaanza kukuchukua guest mpaka umjue undani ndo akuchukue home kwake 😀
Na kama kwake choo ni cha kushea na tangu mwanzo nimeshaamua choo cha kushea sitaki sindo mwanzo wa kumwacha solemba hapo?Baada ya kupoteza muda kibao na mimi!
 
Na hicho choo cha ku-share huko kwa jamaa yako kina salama basi? Mradi we are stuck between a rock and a hard place.

Mimi naona tusikae kwenye high horse tukawapa watu definition ya namna ya kuishi. Tujiwekee wenyewe standards hata zifike mbingu ya saba, lakini tusitake mwengine aishi kwa standards zile.

Who are we to start defining what is shameful and what is lawful anyway?

Nafikiri kama yeye anaishi hapo kuna usalama.....kila mtu ana standards zake na kila mtu aishi kwa standards zake....hakuna anayelazimishwa kuishi kama mwingine but at the same time we have our own opinions about situations and thats what we are talking about here.....we are not here to tell someone what to do and what not....we are simply giving our own opinions at the end each one of us has got his or her own life to live depending on his budget,level of feelings/relationship that he/has with someone and ofcoz personal decisons....
 
hapo nyekundu(it applies both sides not only to men),kuna factors nyingine za kunijua si kunipeleka guest zisizo salama....if thats the only way you have to measure someones love for you.....get a life and man up....if someone loves you he will not take you somewhere you do not like just to measure how much you feel for each other......women ought to be themelves,do not go to any point just to prove to your man that you worth to be someone in his life.....

Hivi kweli kuna mwanaume anaweza kukupeleka ktk gesti ambazo anajua si salama???? Yaani akupeleke gesti ambayo hata yeye mwenyewe atadhurika??? Kwani usalama unakuwa ni wa kwako peke yako au wenu wote???
 
Naomba muongozo kwenye hili

Hivi kile kitendo mwanamke hufanya kwa ajili ya mwanamme au kwa ajili ya nafsi yake pia?

If anafanya kwa nafsi yake, basi sioni mantiki ya kusema umedharauliwa ulipokubali kwenda (siamini kama mwanamme anakupeleka, wewe si zezeta ati).
 
Avumilie tujuane vizuri....manake kama hunijui vizuri uchi wangu wautakia nini??ndo maana wengine wakishapewa hao huwaoni.....if you do not trust me or know me well,why sharing a bed with me in a place where no one knows you and i could even kill you and leave you??
No probably am not the one ambaye ninainitiate tukutane wewe ndio unataka sasa I have two options nikupeleke kwangu ambapo sio comfortable and I would not like to remember our first night in such a place..., au nikakope pesa kwa mshikaji wangu angalau nipate sehemu yenye privacy, godoro na kuta nne na hakuna uwezekano wa majirani kutusikia...? which is better.
 
Hiii Michelle haitufikishi popote tutakuwa tunakwnda in circles tu. If you wont let him kukuchukua guest hatakuchukua, hakuna mwanamke anaewekewa mtutu wa bunduki kufanya hilo.

Tusilaumu wanaume. Mwanamke huenda kwa khiari yake.

Sina shida na mwanamke kwenda guest,aende ni uamuzi wake na moyo na akili yake inavyomtuma na ilivyokubali.....waende tu......
 
Hivi kweli kuna mwanaume anaweza kukupeleka ktk gesti ambazo anajua si salama???? Yaani akupeleke gesti ambayo hata yeye mwenyewe atadhurika??? Kwani usalama unakuwa ni wa kwako peke yako au wenu wote???

Wapo,yeye ili mradi apate sehemu ya kutoa nani yake na kumaliza shida zake hajali cha usalama wala nini....usalama ni wetu ila mihemko na tamaa huondoa reasoning ya mtu kwa hiyo yeye focus yake ni kwa tendo na si tendo lafanyika kwa mazingira gani.....
 
mimi sikimbiagi nina roho ngumu sana kwenye soka hujui tu.....kushabikia Arsenal yataka moyo......ndo huo sasa.....pamoja sana leo TF

Pamoja Michelle.. hatuhitaji kupiga makelele kila mtu asikie. Jana ilistahili tushinde basi tuu hawa vijana walitukomalia.
 
I like to gamble lakini kuna vitu sio vya kucheza kamali navifanya nikiwa 100%.., takuonesha mambo mazuri yote kwa wakati wake. Unajua hata bad news mtu inabidi umuandae na kumwambia polepole,

Tatizo ni kwamba hamna guarantee!Unaweza kuniandaa sana,tena ukatumia sh. nyingi kweli kwangu alafu mwisho nikakukimbia!Mi naona bora ushindwe mchezo bila kutumia nguvu nyingi na pesa kuliko kuwekeza muda na pesa na bado ukashindwa!
 
Naomba muongozo kwenye hili

Hivi kile kitendo mwanamke hufanya kwa ajili ya mwanamme au kwa ajili ya nafsi yake pia?

If anafanya kwa nafsi yake, basi sioni mantiki ya kusema umedharauliwa ulipokubali kwenda (siamini kama mwanamme anakupeleka, wewe si zezeta ati).

Kuna wanaofanya kuridhisha nafsi za wanaume zao au kutafuta kukubalika kwa kuonekana wanaweza lala popote na kuhimili maisha yeyote..
 
Back
Top Bottom