Kwanini GPS trackers zinaondolewa baada ya vyombo vya moto kuibiwa?

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.

Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia kudetect mahali GPS tracker ilipokuwa installed.

Nitaeleza experience yangu kuhusu kile nilichokiona kwenye magari ya watu na ambacho kwa namna nyingine nimeona ni kama hakipo sawa.

Labda kwa kifupi tu niseme, nilichokiona ni kwamba ufungaji wa mifumo ya ulinzi mathalani GPS trackers na Alarms umekuwa ni wa kufanana, its like mwalimu/walimu wanaofundisha ufungaji wa mifumo hii wanafundisha kitu cha aina moja au wamewaaminisha wanafunzi wao kwamba GPS trackers lazima ifungwe kwa mtindo fulani.

Its sad kwamba gari nyingi GPS trackers/Alarms zimefungwa chini ya usukani, mathalani gari za kijapani ambazo siyo push to start. Mtu anafunga hiyo sehemu akiamini kwamba atatumia waya wa switch on kuzimia gari. Lakini kiuhalisia gari inazo waya nyingi sana ambazo ukizikata gari inazima. Hivyo kufunga maeneo tofauti tofauti inawezana.

Kwanza hili jambo la mtu kwenda kusomea kufunga GPS au Alarm halijakaa poa, huenda ndio matokeo ya huku kufanana. Its better kufunga GPS kwa mtu mwenye uelewa na umeme wa chombo husika. Kwa sababu huyu anakuwa na options.

Nowadays GPS trackers are tiny, kwa mfano kwenye magari sehemu za kuficha ni nyingi mpaka ndani ya modules huko na electronic devices zingine kama radio n.k.

Kutokana na hicho nilichokiona imenipelekea niamini kwamba ufungaji wa GPS trackers wa aina hiyo umepelekea hata wezi kukariri kwamba zinafungwa wapi hivyo kuwa rahisi kuzitoa wakiiba vyombo hivyo.

Sisemi kwamba hakuna njia nyingine inayotumika kuzitoa hapana zipo pia njia zingine lakini hii ya ufungaji wa kufanana tena mahali peupe kama chini ya usukani imepelekea utoaji uwe rahisi sana.

Pia kitu kingine, GPS haizuii gari kuibiwa. Ila Inaweza kukusaidia kulipata baada ya kuibiwa. Kama unataka lisiibiwe funga Kill switch iwe ya wireless au manual. At least mtu anaweza akashindwa kuliwasha na kuondoka nalo labda alivute.

Ni hayo tu kwa leo.
 
"Pia kitu kingine, GPS haizuii gari kuibiwa. Ilq Inaweza kukusaidia kulipata baada ya kuibiwa. Kama unataka lisiibiwe funga Kill switch iwe ya wireless au manual. At least mtu anaweza akashindwa kuliwasha na kuondoka nalo labda alivute."

GPS iliyokamilika lazima ije na relay yake ya kuzima na kuwasha, pasipo kujua wengi wanafungiwa GPS without relay.

All in all thanks for sharing this article.

GPS is also my area of expertise.
 
Tafadhali rudia kusoma maneno haya niliyoyaquote.👆🏽
kwa wizi ulioshamiri kwa ku-tawanyisha gari na kubakiza chesisi, GPS trackers hazina maana tena ki-ulinzi
 
Mtoa mada ameelizea kitu kipya ni kweli technicians wengi wamekariri sehemu Moja ya kuweka GPS,
Hii yote ni kutokana na kushindwa kujifunza zaidi.
GPS zinasaidia ila Technicians wanafeli
zinasaidia vpi ? ilihali mpaka kulipata hilo gari unakuta ni chesis imepaki ?

wezi wako smart , hizo GPS hakuna kitu, wanaruka ukuta wanang'oa kila kitu wanakuachia mifupa pamoja na GPS yake

unaamka asubuhi unatoa macho
 
"Pia kitu kingine, GPS haizuii gari kuibiwa. Ilq Inaweza kukusaidia kulipata baada ya kuibiwa. Kama unataka lisiibiwe funga Kill switch iwe ya wireless au manual. At least mtu anaweza akashindwa kuliwasha na kuondoka nalo labda alivute."

GPS iliyokamilika lazima ije na relay yake ya kuzima na kuwasha, pasipo kujua wengi wanafungiwa GPS without relay.

All in all thanks for sharing this article.

GPS is also my area of expertise.

Siyo GPS zote zinakuwa na separate relay. Nyingine inakuja ikiwa imekamilika as a single unit na ina uwezo wa kuzima na kuwasha. Nafanya pia hizo kazi GPS trackers.

Pia mtu akijam signal akaondoka na gari hutokuwa na uwezo wa kuizima huko itakapokuwa.
 
zinasaidia vpi ? ilihali mpaka kulipata hilo gari unakuta ni chesis imepaki ?

wezi wako smart , hizo GPS hakuna kitu, wanaruka ukuta wanang'oa kila kitu wanakuachia mifupa pamoja na GPS yake

unaamka asubuhi unatoa macho
Security System is very wide.

Hapo kwenye kuruka ukuta inabidi ufunge ELECTRIC FENCE kuzuia uhalifu wa aina hiyo.

GPS Inakazi yake na ELECTRIC FENCE in a compound Ina kazi yake
 
siyo lazima uibiwe ndani ya fence, yule kijana wa juzi kaibiwa Buza (tafuta uzi humu), mchana kweupee

kimbilio la kwanza ni gerezani na ilala mtaa wa arusha, ukienda pale unakuta spare parts za vioo vyake vimeshatua kitambo, trackers hakuna kitu , GSM jammers zipo kibao bei chee Aliexpress
 
Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.

Ni hayo tu kwa leo.
Je, unaweza kuandika bila kuweka kiingereza cha kuchovya chovya bila sababu? Unaweza kudharau nilichokuambia lakini kuandika namna hii kunatoa nafasi kubwa kwa wasomaji kujua mtu aliyendika ni mtu wa tabia gani hasa unapoandika jambo la kitaalam. Na hapa sikatai mtindio wa kuchanganya kiingereza kwenye mada za kiswahili kama tulivyozoea (kwani hata mimi huwa nafanya hivyo), lakini namna wewe unavyotumia maneno ya kiingereza! Tafakari.
 
Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.

Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia kudetect mahali GPS tracker ilipokuwa installed.

Nitaeleza experience yangu kuhusu kile nilichokiona kwenye magari ya watu na ambacho kwa namna nyingine nimeona ni kama hakipo sawa.

Labda kwa kifupi tu niseme, nilichokiona ni kwamba ufungaji wa mifumo ya ulinzi mathalani GPS trackers na Alarms umekuwa ni wa kufanana, its like mwalimu/walimu wanaofundisha ufungaji wa mifumo hii wanafundisha kitu cha aina moja au wamewaaminisha wanafunzi wao kwamba GPS trackers lazima ifungwe kwa mtindo fulani.

Its sad kwamba gari nyingi GPS trackers/Alarms zimefungwa chini ya usukani, mathalani gari za kijapani ambazo siyo push to start. Mtu anafunga hiyo sehemu akiamini kwamba atatumia waya wa switch on kuzimia gari. Lakini kiuhalisia gari inazo waya nyingi sana ambazo ukizikata gari inazima. Hivyo kufunga maeneo tofauti tofauti inawezana.

Kwanza hili jambo la mtu kwenda kusomea kufunga GPS au Alarm halijakaa poa, huenda ndio matokeo ya huku kufanana. Its better kufunga GPS kwa mtu mwenye uelewa na umeme wa chombo husika. Kwa sababu huyu anakuwa na options.

Nowadays GPS trackers are tiny, kwa mfano kwenye magari sehemu za kuficha ni nyingi mpaka ndani ya modules huko na electronic devices zingine kama radio n.k.

Kutokana na hicho nilichokiona imenipelekea niamini kwamba ufungaji wa GPS trackers wa aina hiyo umepelekea hata wezi kukariri kwamba zinafungwa wapi hivyo kuwa rahisi kuzitoa wakiiba vyombo hivyo.

Sisemi kwamba hakuna njia nyingine inayotumika kuzitoa hapana zipo pia njia zingine lakini hii ya ufungaji wa kufanana tena mahali peupe kama chini ya usukani imepelekea utoaji uwe rahisi sana.

Pia kitu kingine, GPS haizuii gari kuibiwa. Ila Inaweza kukusaidia kulipata baada ya kuibiwa. Kama unataka lisiibiwe funga Kill switch iwe ya wireless au manual. At least mtu anaweza akashindwa kuliwasha na kuondoka nalo labda alivute.

Ni hayo tu kwa leo.

Hizi gari za push to start zinaibiwaje lakini?

Maana m najua bila ile remote hata ukiwasha gari baada ya muda itazima kama remote iko mbaali.so hawa watu wanaiba vipi hizi gari [emoji2377]
 
Ingia youtube andika Signal relaying. Hamna gari za kijinga kama hizo. Tena hasa hizi za kijapani.
 
Back
Top Bottom