Kwanini haiwezekani kukunja karatasi zaidi ya mara saba?

Hiyo mara 7 ni kwa karatasi yenye ukubwa wa A4
 
Inawezekana kukunja zaidi ya mara 7.
Best paper folders wameishia mara 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…