Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Safi sana! Hata Yesu alipokimbiziwa ukimbizini walitembea tu km wanaenda sokoni ! na walipofika ukimbizini huko hawakuwashangaa! ni kama walikuwa wenyeji wa palepale tu!!

ni sawa na Mkenya wa kule Isbania! huyo akikimbila Tarime km mkimbizi itawachukua muda sana kujua km siyo mwenzao, tena saaana atamke mwenyewe!! na

wakurya wa Tarime wengi wanenda na kurudi kenya na Bongo, ni km kwao kotekote! wanasoma kotekote wanapo ona panafaa! pia wasotho na s/africa mwee!! hkn tofauti! ndo ivo pia na upende wa Yesu!

wazungu no zao la shetani wanatimiza agenda za shetani!! zawadi pekee aliyowapa wazungu ni kutawala Dunia kwa mda!! ila wana mwisho!! wana damu(DNA) ya Neandethal na kiafrica, na Heandethal ndiyo Nephilim waliotajwa kwa Biblia!

hawakwepi watake wasitake!!...... Mkuu wa ulimwengu amewamegea ukuu! WAAFRICA walimkana Mungu! na waliambiwa na Mungu mtaabudu msicho kijua km mtaniasi!!.....na mtarudishwa Africa kwa mitumbwi hamtarudi tena hapa kamwe! na ni kweli africans wengi hata hawajui asili yao ni wapi!
Sisi Niwa Africa na tutabaki Africa milele.
 
Kwani na nyinyi si munanunua masuti na misalaba, sasa hapo kero la nini? Au wangapi siku hizi wanavaa ile migolole ya asili?

Munajifanya wazungu na pia mumeanza kuiga hao munaowasema kwa kwenda kuhiji Jerusalem
Mkuu fuatilia trend ya majibizano yangu na mdau utagundua niliyoandika nilokosoa kwa dini zote ndipo mdau akataka nimtolee mfano au maelezo specific kwa uislam.

Lakini mwanzo nilitolea majibu yanayo husu dini zote za kigeni yeye akasema hayo ni kwa ukiristo si kwa uislam.
Mimi si mchukia uislam au ukristo au dini yeyote .
Mimi muamini wa ikani ya kuwa Mungu yupo kwa maana ya muumbaji lakini dini nyibgi ni mapokeo ba tamaduni za binadamu tu. Si muumini hai wa dini yeyote kwa sasa japo nilibatizwa ktk ukristo kanisa katoliki.
 
FB_IMG_1644946494678.jpg
 
mungu hakuumba mwafrica hao walitokea katika kizazi cha nuhu baada ya kutokumheshimu baba yao mungu akawalaani. pili manabii waafrika wapo wakina mwaposa nigeria wamejaa. unataka manabii wapi tena
Nabii Tito, nabii shila, mungu zumaridi, jehova wanyonyi nk Hawa wote waafrika weusi.
 
Vinavyoaminika ambavyo ni vya dini zinazofuatwa hapa duniani.. au umeelewa vipi? Mkuu au una andiko lolote lime mmention nabii au mtume aliyetokea AFRICA mashariki ya kati mkuu
AFRICA mashariki ya kati ndo wapi huko?
 
Kwani waarabu ni waafrika? Kuzaliwa Africa haimaanishi wewe ni mwafrika. Kama vile mwafrika akizaliwa ulaya hawi mzungu.

Musa hakuwa mwarabu soma upya maandiko sio mnamezeshwa kila takataka, sio kila muisrael ni mwarabu
kama mnavyoaminishwa,
 
Kuna sehem gani ktk uslamu mtu analazimishwa kuvaa mavazi ya kiarabu?niambie hapa
Haulazimishwi ila unaambukizwa kisaikolojia kuiga ya ya aliyekuletea utamaduni kupitia dini yake.
Yale mavazi ya hijabu sijui , kanzu n.k.
 
Poleni na mizunguuko ya dunia na karibuni

(1) Kwanini hakukua na nabii au mtume MWAFRICA

(2) Nini M/MUNGU ametuficha au kuna baadhi ya mataifa ambayo sio ya AFRICA yametuficha vitu sisi Waafrika

(3) Au hawa manabii na mitume wa sasa wa AFRICA M/MUNGU ametuletea kama malipizi na sisi tupate manabii na mitume kama ni kweli mbona hatuwasikilizi tunawadhalau na wao mbona wanaonekana kama wanaongoza ibada zao kwa tamaa na mambo yasiyo sahihi KIUUNGU

(4) Labda kwa kigezo cha AFRICA tumepewa mali wao wamepewa akili; hapana hata wao mali wanazo tena nyingi kuliko zetu na bado wanakuja kuvuna mali AFRICA

(5) Na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA VINA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..

Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa
Nani kasema wakati Yesu na Musa wote walikuwa weusi
 
Ukweli ni kwamba hakukuwa na mtume muafrika kati ya wale mitume wa Yesu
Ila Kuna mitume walikuwa special for gentlies (watu wa mataifa) amabao sio Israel mfano ni mtume Petro.
Kumbuka Yesu alizaliwa alizaliwa Bethlehem huko Nazareth Israel ingawa alibeba package ya Dunia nzima
Ndio maana baada ya wao kujazwa nguvu za Roho mtakatifu aliwaambia
Nendeni muwe mashahidi wa mambo haya hata mwisho wa nchi
So Yesu akawa Mbegu ambayo Leo hii tumekuwa mashahidi wengi wengi Sana bila kujali Rangi, Kabila, Taifa,
Unataka kusema kabla ya yesu au nyakati za yesu kuna mtu alijua kuwa nikienda maala nitakutana na binadamu wenzangu na watakuwa na rangi flan pengine tofauti na mimi.
 
Ndio ujue hivyo vitabu , mashairi na nyimbo mnazoimba kila ijumaa na jumapili ni usanii mtupu
 
Ayubu,Yusufu na nabii suleiman,pamoja na Musa walikuwa weusi

Tusaidie nasisi tukajifunze dalili kutoka kwenye kitabu chochote cha dini tunazozifata na kuziamini.. yaani tusaidie aya yeyote kutoka kwenye Qur-an au mstari kutoka kwenye Bible.. tukafunue tufaidike na sie.. mkuu
 
Poleni na mizunguuko ya dunia na karibuni

(1) Kwanini hakukua na nabii au mtume MWAFRICA

(2) Nini M/MUNGU ametuficha au kuna baadhi ya mataifa ambayo sio ya AFRICA yametuficha vitu sisi Waafrika

(3) Au hawa manabii na mitume wa sasa wa AFRICA M/MUNGU ametuletea kama malipizi na sisi tupate manabii na mitume kama ni kweli mbona hatuwasikilizi tunawadhalau na wao mbona wanaonekana kama wanaongoza ibada zao kwa tamaa na mambo yasiyo sahihi KIUUNGU

(4) Labda kwa kigezo cha AFRICA tumepewa mali wao wamepewa akili; hapana hata wao mali wanazo tena nyingi kuliko zetu na bado wanakuja kuvuna mali AFRICA

(5) Na mbona wanasema binaadamu wa kwanza mwafrica alikuwa nyani.. na wao hawakuwa nyani mbona hiko kizazi cha nyani cha mwafrica akiendelei au waliwakusanya wale nyani wote waliokuwa wanageuka au wanazaa binadamu wakawaua KUNA HAJA YEYOTE YAKUENDELEA KUTUMIA VITABU(PROTOCOL) AMBAVYO HAVINA MSINGI NA VINA HISTORY MBAYA WALIOPAKAZIWA WAAFRICA..

Mpendwa wenu katika ujenzi wa taifa
Walikuwepo, not documented. Roho za wafu wao wanaitwa watakatifu, za wetu mizimu.
 
tatizo ni nyie kujipendekeza kwa manabii wa wenzenu! wazungu na waarabu! ila wale wenu mliwaita waganga wa kienyeji!!! hamtunzi makaburi yao!! hamtaki kuwasikia mnawaita wafuasi wa shetani ....

basi shetani ana cheeeka mpaka basi.....anajamba na mkewe huko! japani. korea, china walikataa huo ujinga wa yesu mzungu angalia walipo!...nyie eti mpaka leo mnawafuata km kondoo!!

kwanza yesu mzungu haji, wla kumsikia mtasubiri sana!! akija yule wa kweli hamta mwamini, mtamuona muhuni tu amefoji taa za umeme! hayaa tukawaambia mjifunze kusoma wkt ni huu!!!...oooh! mchonga nae!
Hivi aliyewafundisha wachina, wajapan nk kusoma na kuandika ni nani ?
 
Back
Top Bottom