smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Ngoja nimpigie simu '''jing ping!!.... jibu Atakalo niambia nitakuletea mrejesho .......... kaa !! hapohapo nyuma ya key board usubiri majibu...si unajua wachina wanajali muda!...niombee tu asinitukane!Hivi aliyewafundisha wachina, wajapan nk kusoma na kuandika ni nani ?