Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Sisi Niwa Africa na tutabaki Africa milele.
 
Kwani na nyinyi si munanunua masuti na misalaba, sasa hapo kero la nini? Au wangapi siku hizi wanavaa ile migolole ya asili?

Munajifanya wazungu na pia mumeanza kuiga hao munaowasema kwa kwenda kuhiji Jerusalem
Mkuu fuatilia trend ya majibizano yangu na mdau utagundua niliyoandika nilokosoa kwa dini zote ndipo mdau akataka nimtolee mfano au maelezo specific kwa uislam.

Lakini mwanzo nilitolea majibu yanayo husu dini zote za kigeni yeye akasema hayo ni kwa ukiristo si kwa uislam.
Mimi si mchukia uislam au ukristo au dini yeyote .
Mimi muamini wa ikani ya kuwa Mungu yupo kwa maana ya muumbaji lakini dini nyibgi ni mapokeo ba tamaduni za binadamu tu. Si muumini hai wa dini yeyote kwa sasa japo nilibatizwa ktk ukristo kanisa katoliki.
 
mungu hakuumba mwafrica hao walitokea katika kizazi cha nuhu baada ya kutokumheshimu baba yao mungu akawalaani. pili manabii waafrika wapo wakina mwaposa nigeria wamejaa. unataka manabii wapi tena
Nabii Tito, nabii shila, mungu zumaridi, jehova wanyonyi nk Hawa wote waafrika weusi.
 
Vinavyoaminika ambavyo ni vya dini zinazofuatwa hapa duniani.. au umeelewa vipi? Mkuu au una andiko lolote lime mmention nabii au mtume aliyetokea AFRICA mashariki ya kati mkuu
AFRICA mashariki ya kati ndo wapi huko?
 
Kwani waarabu ni waafrika? Kuzaliwa Africa haimaanishi wewe ni mwafrika. Kama vile mwafrika akizaliwa ulaya hawi mzungu.

Musa hakuwa mwarabu soma upya maandiko sio mnamezeshwa kila takataka, sio kila muisrael ni mwarabu
kama mnavyoaminishwa,
 
Kuna sehem gani ktk uslamu mtu analazimishwa kuvaa mavazi ya kiarabu?niambie hapa
Haulazimishwi ila unaambukizwa kisaikolojia kuiga ya ya aliyekuletea utamaduni kupitia dini yake.
Yale mavazi ya hijabu sijui , kanzu n.k.
 
Ayubu,Yusufu na nabii suleiman,pamoja na Musa walikuwa weusi
 
Nani kasema wakati Yesu na Musa wote walikuwa weusi
 
Unataka kusema kabla ya yesu au nyakati za yesu kuna mtu alijua kuwa nikienda maala nitakutana na binadamu wenzangu na watakuwa na rangi flan pengine tofauti na mimi.
 
Ndio ujue hivyo vitabu , mashairi na nyimbo mnazoimba kila ijumaa na jumapili ni usanii mtupu
 
Ayubu,Yusufu na nabii suleiman,pamoja na Musa walikuwa weusi

Tusaidie nasisi tukajifunze dalili kutoka kwenye kitabu chochote cha dini tunazozifata na kuziamini.. yaani tusaidie aya yeyote kutoka kwenye Qur-an au mstari kutoka kwenye Bible.. tukafunue tufaidike na sie.. mkuu
 
Walikuwepo, not documented. Roho za wafu wao wanaitwa watakatifu, za wetu mizimu.
 
Hivi aliyewafundisha wachina, wajapan nk kusoma na kuandika ni nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…