Nakuambia kila siku unaongopa sababu sio muaminifu did i say that? i was reporting source Sahihi Hadith ya kiislam ndio inasema hayo maneno kuwa Ishmael alijifunza kiarab akiwa kijana mdogo now umegeuza eti niesema Ibrahim alimpeleka saudi Arabia kujifunza kiarabu kwa kusingizia kwako utakuwa una majini wewe dah au nikuwekee quote watu wakujue ulivyo punguani? Hebu kua kua. Una ni provia kuwa your just an idiot. go and read upya nilichoandika am just help you boy. Islams is cult religion.
Ungejua hata Historia ya Mecca haikuwa eneo la Makazi ya watu according to historian. keep your ignorant Mji uitwao Bakka ndio una specification zote za kihistoria kuwa ndio iliwa center ya Biashara enzi hizo location na position za kihistoria. sema mnaogopa watu wakikaza Mudy mwenye ni mythicall story tu.
What we know Christianity ameanzisha Allah according to Quran and Paul kaandikwa vizuri katika Quran so wewe ni kafiri mpingaji wa uislam. Quran 3:55
Sasa cheo cha Ubaba kwa watu aliowakuta enh ni ile ubaba kama wa Nyerere maana nae alikuta wat maeneo ya Tanganyika na Zenj so Ubaba wa Ismael ni wa Heshima ila sio wa Ethinic so Mohammad kajitwisha Ismaelist bila DNA yeyote hahahaha Wasomi wenu wanasema Baba wa Arabs ni Shem Mtoto wa Nuhu.
Alaa Kwahiyo Mtume wako alipo apa kwa kutumia Torah ilikuwa fake pia?
Kitabu cha 33, Nambari 4434:
Imepokewa na Abdullah Ibn Umar:
Kikundi cha Mayahudi kilikuja na kumwita Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) huko Quff. Kwa hiyo aliwatembelea shuleni kwao.
Wakasema: AbulQasim, mmoja katika wanaume wetu amezini na mwanamke; basi toa hukumu juu yao. Wakaweka mto kwa ajili ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) aliyeketi juu yake na akasema: Leteni Taurati. Kisha ikaletwa. Kisha akautoa mto chini yake na akaiweka Taurati juu yake
akisema: Nimekuamini wewe na yule aliyekuteremshia.
Kisha akasema: Nileteeni mwenye elimu miongoni mwenu. Kisha akaletwa kijana mmoja. Msambazaji kisha akataja hadithi iliyobaki ya upigaji mawe sawa na ile iliyopitishwa na Malik kutoka kwa Nafi' (Na. 4431).
Book 33, Number 4434:
Nadhani Quran ndio inachekesha alafu nilikupa aya ukaelewa then ushasahau kama Mtume wako Mudy hahahaha kwa Madai yako ya kipumbavu unayookoteza nje ya uislam ambayo sawa na kunya juu ya Quran
Ukisoma Quran 11:71-2 Quran 6:84 ,37:113 & 29:27
Alafu hawezi kuchinja mtoto mwana haramu sacriface lazima iwe pure. ni Is haq
Gifted Son ni Isaac ndie alikuwa atolewe sadaka then akabarikiwa Isaac na uzao wake bishana na Quran kama umeona Biblia uongo anayoiamini Mtume wako bishia na Quran, na je unaweza weka Aya inayokusapoti a madai yako ya Ishmael kutka kutolewa Sadaka?
NNAKUWEKEA AYA UPAMBANE NAZO HUKU ALLAH ANAKUCHEKI TU HAHAHAHA
Quran 11:71
وَامْرَأَتُهُ قَائِمَةٌ فَضَحِكَتْ فَبَشَّرْنَاهَا بِإِسْحَاقَ وَمِنْ وَرَاءِ إِسْحَاقَ يَعْقُوبَ
Al-Barwani
Na mkewe alikuwa kasimama wima, akacheka. Basi tukambashiria (kuzaliwa) Is-haq, na baada ya Is-haq Yaaqub.
Quran 11:72
قَالَتْ يَا وَيْلَتَىٰ أَأَلِدُ وَأَنَا عَجُوزٌ وَهَٰذَا بَعْلِي شَيْخًا ۖ إِنَّ هَٰذَا لَشَيْءٌ عَجِيبٌ
Al-Barwani
Akasema: Je, hivyo mimi nizae, na hali yangu ni kikongwe na huyu mume wangu ni kizee? Hakika haya ni mambo ya ajabu!
Quran 37:113
وَبَارَكْنَا عَلَيْهِ وَعَلَىٰ إِسْحَاقَ ۚ وَمِنْ ذُرِّيَّتِهِمَا مُحْسِنٌ وَظَالِمٌ لِنَفْسِهِ مُبِينٌ
Al-Barwani
Na tukambarikia yeye na Is-haqa. Na miongoni mwa dhuriya zao walitokea wema na wenye kudhulumu nafsi zao waziwazi.
Quran 6:84
وَوَهَبْنَا لَهُ إِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ ۚ كُلًّا هَدَيْنَا ۚ وَنُوحًا هَدَيْنَا مِنْ قَبْلُ ۖ وَمِنْ ذُرِّيَّتِهِ دَاوُودَ وَسُلَيْمَانَ وَأَيُّوبَ وَيُوسُفَ وَمُوسَىٰ وَهَارُونَ ۚ وَكَذَٰلِكَ نَجْزِي الْمُحْسِنِينَ
Al-Barwani
Na tukamtunukia (Ibrahim) Is-haq na Yaakub. Kila mmoja wao tulimwongoa. Na Nuhu tulimwongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimwongoa Daud na Suleiman na Ayyub na Yusuf na Musa na Harun. Na hivi ndivyo tunavyo walipa wafanyao wema.
Quran 29:27
Na tukampa Is-haq na Yaaqub, na tukajaalia katika kizazi chake Unabii na Kitabu. Na tukampa ujira wake duniani, na hakika yeye ni katika Akhera miongoni mwa watu wema.
Ndio nimeandika kila nikikujibu Beduin ndio Arabs halisi wanaendana na jina lao waliitwa hivyo na Wayahudi kwa kuishi kwenye desert ' Arav ' kwanini wewe ni mjinga sana umepindukia nishakufundisha ushaelewa ila unageuza as if mimi ndio nilikuwa sielewi wakti umejifunza kwangu hahahaha unaigia majawabu kilaza wewe. unanionesha kuwa na deal na kilaza
Muslim wote hamnajui maana even Quran yenu imeandika Israel lakini Allah haelewi hata Yacob ni nani wala Israel ni nani hakuna anachojua kitu mtume wenu aliona hana la kuwaelezea akasema mtuulize sisi. Quran haijui kuwa Yacob ndie Israel. Hahaha Allah ni Kilaza too.
Kwenu hamna Mtume aitwaye Ham ? Quran 37:77
وَجَعَلْنَا ذُرِّيَّتَهُ هُمُ الْبَاقِينَ
Al-Barwani
Na tuliwajaalia dhuriya zake ndio wenye kubakia.
Muhsin Khan
And, his progeny, them We made the survivors (i.e. Shem, Ham and Japheth).
Tusome Tafsir ya hiyo aya nayo inakuondosha kuwa father of Arab ni Shem(Sam) Mtoto wa Noah
Na katika Aya ya 77, ikasemwa: وَجَعَلْنَا ذُرِّيَّتَهُ هُمُ الْبَاقِينَ (Na [Tukawajaalia dhuria wake ndio mabaki pekee.). Kwa mujibu wa wafasiri wengi, aya hii ina maana kwamba idadi kubwa ya watu duniani iliangamizwa katika gharika kubwa wakati wa Sayyidna Nuh (علیہ السلام) . Baada ya hapo, jamii zote katika dunia nzima zilitokana na wana watatu wa Sayyidna Nuh (علیہ السلام) . Sam alikuwa mmoja wa wanawe. Watoto wake walikuwa ni mababu wa watu wa Arabuni na Uajemi. Mwana wa pili aliitwa Hamu. Idadi ya watu katika nchi za Kiafrika ilitoka kwake. Wasomi wengine wamejumuisha watu wa India katika hisa sawa ya rangi. Yafith alikuwa mwana wa tatu. Kutoka kwake zilitoka mbio zinazojulikana kama Turk, Mongol na Gogu na Magogu. Kati ya watu ambao walikuwa wamepanda safina ya Sayyidna Nuh (علیہ السلام) na wakanusurika kwenye Gharika, wana watatu wa Sayyidna Nuh (علیہ السلام) ndio pekee ambao kizazi chake kilinusurika baadaye.
Muarabu ni nai kati ya hao watu walikuwa listed na Quran, Ujinga wa Allah kamchomekea Nuhu hapo Allah ana proved yeye kuwa ni kilaza Quran 6:83
Sahih International:
And We gave to Abraham, Isaac and Jacob – all [of them] We guided. And Noah, We guided before; and among his descendants, David and Solomon and Job and Joseph and Moses and Aaron. Thus do We reward the doers of good.
Umeshindwa kuweka Aya au Sahihi hadith wewe ni victims wa kudanganywa keep lies for yourself ila acha kudanganya Waislam.
Quran inakutoa na Biblia zinakutoa Nishai Pambana nazo, and pia Tambua Yemen nilikuambia ilikuwa nchi ya christians Jews wakaja wakawaua nilishahu aya ila nimeipata inaitwa Surat Al Buruj kasome yote na interpretation zake uelewe kuwa Yemen ya watu wa sasa walianzaje maana wale wa kwanza waliitwa watu wa mapangoni.
Mbona mimi nakuletea source wewe unaokoteza wikipedia hahaha Au unagopa utachekwa na Waislam?
Quote No.
Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? ulikwepa kuisoma au ndio ukilaza unasahau faster?