Il Padrino
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 675
- 1,604
Uislam sharia kwanza, yaani Mamlaka ya Mungu kupitia Quran na Sunna. Uhusiano wa Uislam na demokrasia hutegemea tafsiri ya kidini na mazingira ya nchi husika. Demokrasia ndiyo hiyo inawataka mruhusu ulevi, ndoa za jinsia moja, kamari na mengineyo yasiyofaa kwenye jamii. Mfumo unaotumika ni shura yaani consultation na haki. Ndio ulotumika pia kumchagua AbuBakar RA kuwa Khalifa yaani kiongozi wa Uislam baada ya kufa kwa Muhammad SAW. Demokrasi iliyopo ni hiyo ya kushauriana na kufikia makubaliano kwa jambo sahihi siyo hiyo demokrasi ya kimagharibi ya wengi wape hata kama mmekosea na kuwapa maliberali au ma far rights/conseravtives. 1992 Tanzania ilipitisha mfumo wa vyama vingi wa maoni ya wachache, wengi walikataa.
Nchi zenye waislam wengi kwa idadi kama Indonesia, Tunisia, Malayisa wana kiasi cha demokrasia ya kimagharibi kwenye haki za kibinadamu, uhuru wa kujieleza kwa kuzungatia vipengele vya Sharia, Saudi, Emirates, Iran na Gulf countries nyingine ni Sharia tu, hakuna demokrasia. Somalia, Yemen, Iraq na Libya wameingiza hiyo demokrasi ya magharibi na kilichotokea zimekuwa ungovernable.
Wakati mwengine hiyo demokrasi inatakiwa tu kuserve interest za hao Western. Nchi kama Afhanistan US wamekaa miaka 20 kujaribu ku impose hiyo demokrasia mwisho wa siku wamewaachia Taliban wenyewe baada ya kutumia nguvu na rasilimali kubwa kuibomoa, Egypt baada ya kumtoa Mubarak, Waarabu wakamchagua Morsi, Rais wa kwanza wa kuchaguliwa kwa hiyo demokrasia ya magharibi, US na Israel wakachochea mapinduzi akang'olewa na jeshi ndani ya mwaka mmoja, huko Palestina Hamas walishinda Ukanda wa Gaza, matokeo yake ndiyo hayo yanayotokea baada ya Israel kupinga matokeo. Uislam haupingi moja kwa moja demokrasi ya kimagharibi mf Turkiye, Algeria lakini lazima iwe na kikomo, limits. Inaruhusiwa pale tu inapokuwa compatible na sharia