Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,624
- 1,937
Humphrey kwenye wasilisho lake la mwisho alisema kuna wazee wameshanunuliwa na wameuza utu na heshima Yao kwa shetani
Alisema wanajiandaa kwa maridhiano feki na akasema atarudi tena kufafanua zaidi, alionekana akiongea kwa haraka na mashaka. Baada ya wasilisho lile umma wa watanzania hawajapata kumuona tena. Je wazee hawa ni kina nani? Huenda wanahusika/wanafahamu alipo.
NB: Butiku alimkana yule kepteni aliyejitokeza na Bashiru amepewa ubunge wa kuteuliwa. Hii NB haihusiani na mada tajwa hapo juu.