Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
Tangu nijiunge JF naona special thread za timu za ulaya tu:
Zipo mimi ndio sijaziona hizo thread?
Sheria na kanuni za JamiiForums haziruhusu?
WanaJF wenyewe tu hawataki?
Zilikuwepo vurugu zikazidi wakazifuta? ama sababu ni nini!
Nashangaa hadi Steau Bucuresti ina uzi wake ila timu za hapa Tanzania hazina uzi.
- Manchester City
- Manchester United
- Arsenal
- Real Madrid
- Barcelona