Kwanini hakuna special thread za timu za Tanzania?

Kwanini hakuna special thread za timu za Tanzania?

Status
Not open for further replies.

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646
Tangu nijiunge JF naona special thread za timu za ulaya tu:
  • Manchester City
  • Manchester United
  • Arsenal
  • Real Madrid
  • Barcelona
Lakini sijaona special thread za Simba SC,Young Africans,Azam,Kagera Sugar, au timu yoyote ile ya Afrika!
Zipo mimi ndio sijaziona hizo thread?
Sheria na kanuni za JamiiForums haziruhusu?
WanaJF wenyewe tu hawataki?
Zilikuwepo vurugu zikazidi wakazifuta? ama sababu ni nini!

Nashangaa hadi Steau Bucuresti ina uzi wake ila timu za hapa Tanzania hazina uzi.
 
Hizo zilizopo zilifunguliwa na watu, na wewe leo fungua hizo nyingine.
 
unaelewa maana ya kuuliza sio ujinga
Unaulizaje bila kwenda jukwaa husika?

Uzi ufungwe

Mkuu kuendesha hizo nyuzi ni gharama sana, vilabu vyetu vya ndani haviwezi kumudu.

Hizo special threads unazoziona hapo kila mwezi zinapokea fungu toka EPL na LA LIGA. Kwa wastani muanzisha thread hulipwa kiasi cha Euro 700 kwa mwezi huku wachangiaji wakipokea wastani wa EURO 300. Sasa fikiria mwenyewe hizo nyuzi zina wachangiaji wangapi.

Oya wewe, sio poa.
 
hahaha mkuu ya kweli haya
 
Zimepoa sana kiasi kwamba kutambua uwepo wake inakuwa ngumu, mpaka uanze kuchimba
 
Zimepoa sana kiasi kwamba kutambua uwepo wake inakuwa ngumu, mpaka uanze kuchimba
Kiri tu kwamba hukufanya utafiti wako vizuri na umekurupuka kuanzisha thread. Ungefanya search ya kawaida tu ungeziona hizo nyuzi. Sasa tena unataka eti kuanza Uswahili wa kutolewa kwenye mashindano tumetolewa lakini tumetolewa kiume 😂😂
 
Kiri tu kwamba hukufanya utafiti wako vizuri na umekurupuka kuanzisha thread. Ungefanya search ya kawaida tu ungeziona hizo nyuzi. Sasa tena unataka eti kuanza Uswahili wa kutolewa kwenye mashindano tumetolewa lakini tumetolewa kiume
hahaha sawa nakiri ila ukweli ni kuwa zimepoa na UZI UFUNGWE TU!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom