Unaulizaje bila kwenda jukwaa husika?unaelewa maana ya kuuliza sio ujinga
hahaha mkuu ya kweli hayaMkuu kuendesha hizo nyuzi ni gharama sana, vilabu vyetu vya ndani haviwezi kumudu.
Hizo special threads unazoziona hapo kila mwezi zinapokea fungu toka EPL na LA LIGA. Kwa wastani muanzisha thread hulipwa kiasi cha Euro 700 kwa mwezi huku wachangiaji wakipokea wastani wa EURO 300. Sasa fikiria mwenyewe hizo nyuzi zina wachangiaji wangapi.
Oya wewe, sio poa.
Kiri tu kwamba hukufanya utafiti wako vizuri na umekurupuka kuanzisha thread. Ungefanya search ya kawaida tu ungeziona hizo nyuzi. Sasa tena unataka eti kuanza Uswahili wa kutolewa kwenye mashindano tumetolewa lakini tumetolewa kiume 😂😂Zimepoa sana kiasi kwamba kutambua uwepo wake inakuwa ngumu, mpaka uanze kuchimba
hahaha sawa nakiri ila ukweli ni kuwa zimepoa na UZI UFUNGWE TU!Kiri tu kwamba hukufanya utafiti wako vizuri na umekurupuka kuanzisha thread. Ungefanya search ya kawaida tu ungeziona hizo nyuzi. Sasa tena unataka eti kuanza Uswahili wa kutolewa kwenye mashindano tumetolewa lakini tumetolewa kiume