Kila kabila na mambo yake. Wapiga matarumbeta karibu wote ni wasambaa. Maduka mengi mitaani inamilikiwa na wachaga. Kwenye masoko (genge) wengi waha wa Kigoma. Kwenye bucha wengi wagogo. Wapasua mbao kwa misumeno wengi walikuwa wakinga. Wakati huo, wanajeshi wengi walikuwa walikuwa wakurya.
Mpira asili yake Morogoro, Kigoma nk
Miaka ya nyuma mikoa mingi ilikuwa na bendi ya muziki. Cuban na Moro Jazz, Morogoro. Tabora Jazz kule Tabora. lakini Kilimanjaro ilishindakana baada ya kutokea ugomvi nani awe mhasibu wa bendi ha ha ha.